Mwongozo kuhusu special code TCU

Mwongozo kuhusu special code TCU

punguzen wenge vijana kila kitu kitakuwa sawa hata sis kaka zenu tilituliza wenge mambo yakajipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huoni kama kuna tatizo, hata mawasiliano yamekuwa magumu toka juzi vijana waliambiwa kuhusu hizo code hadi sasa saa 7 mchana hakuna aliyepata. TCU wanasema mwisho ni kabla ya tarehe 5/9 (yaani tarehe 4 saa 5.59 usiku). Vyuo vingi mpaka sasa hawajatoa list ya nani amechaguliwa program gani. TCU Wametangaza round ya pili kufunguliwa 3/9/18 ni wengi hawajui wako kundi gani-yaani wamepata wapi au wamekosa.
 
hizo code kuanzia jana tunazisubria,dah its so boring yani,ku-confirm kesho apa webs zao zitakuwa na jam sana so mtandao utakuwa unaload sana maana watu watakuwa wengi wanaconfirm
 
Mkuu huoni kama kuna tatizo, hata mawasiliano yamekuwa magumu toka juzi vijana waliambiwa kuhusu hizo code hadi sasa saa 7 mchana hakuna aliyepata. TCU wanasema mwisho ni kabla ya tarehe 5/9 (yaani tarehe 4 saa 5.59 usiku). Vyuo vingi mpaka sasa hawajatoa list ya nani amechaguliwa program gani. TCU Wametangaza round ya pili kufunguliwa 3/9/18 ni wengi hawajui wako kundi gani-yaani wamepata wapi au wamekosa.
Round ya pili itafunguliwa tarehe 6 ndio maana deadline ya confirmation ni tarehe 5. Vumilieni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujapata CODE piga simu iliyo kwenye system uliokuwa umeombea Utapata Msaada, Kwa mfano Udom watawatumia waombaji wake Codes kama hawajapata, Hizo code namaanisha hata vyuoni zimetumwa. Kila la kheri msipaniki.
 
daah jaman mmi nilikuwa zangu jkt code sikupata alaf sasa ni first selection kila nikipga tcu wanachukua details na kusema wanatuma lakin mpaka muda huu naoandika haya sijapata hiyo code nafanyeje?
 
Back
Top Bottom