mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,269
Kweli Salama kat hakuna mwalimuNenda Iringa Ummu Salama secondary school ...utapata tempo
Kweli Salama kat hakuna mwalimuNenda Iringa Ummu Salama secondary school ...utapata tempo
sasa mkuu,kama wew sio muhusika wa hizi mambo huwezi kuelewa,hiyo tunaandika tyu b.chem nadhan watundu na wanaofahamu wanaelewa.B.Sc. chem =b. chem?
ok ahsante sana mkuu,nitafatiliaNenda Iringa Ummu Salama secondary school ...utapata tempo
Uko sahihi sana mkuu,kwa hayo yote uloyasema nami nayatambua sana na nimeyapitia ofcoz nimejifunza mengi sana na hayo yote uloyasema nimepitia na nimefundishwa sehemu zote nilizopita kufundisha na inawezekana niko vizuri zaidi kuliko hata hao walosomea taaluma hiyo y ualimu,hivo niko vizuri sana katika yote na ninaaminika kwa shule niliyofanya hiyo kazi kwa muda na walimu na wanafunzi wangu wanafahamu na nimewafikisha mbali sana wanafunzi nlowafundisha tena vidato vyote yani 1-4.so hivo kama mtu ana kipaji cha kufundisha anaweza kukitumia hata kama hajasomea ilimradi anafanya vizuri inavotakiwa.Wewe si mwalimu halafu title umeandika mwl...!!
Naona hujielewi, ualimu siyo kusimama tu mbele ya wanafunzi na kuandika notes ubaoni...
Huwezi kujiita mwl wakati wewe siyo mwl kwa taaluma!
Tatizo hii kazi ya ualimu kila mtu anaona kuwa anaweza kuifanya, kufundisha mwanafunzi ni taaluma, si kazi ya mazoea!
Ni kazi inayohusisha mambo mengi kuijua saikolojia ya wanafunzi, kujua mbinu za kuwafundisha, kuthibiti nidhamu ya wanafunzi n.k!
Hapa tunaona ni jinsi gani vijana wanaohitimu elimu ya sekondari wengi wakiwa hawana nidhamu na maadili kutokana na pengine kufundishwa na watu ambao si waalimu! Maadam tu mtu kashasoma hadi kidato cha sita au kamaliza chuo kwa kuwa kakosa kazi anaamua kujikita katika kufundisha!
Ualimu haoko hivyo, si kazi ya mazoea!!!!
Ndugu, anamaanisha andika vizuri kuonesha kwamba ni graduate mtarajiwa kama ambavyo umeandika BSc. Chemistry kwa Mara ya pili, utakuwa hujamwelewa tu.sasa mkuu,kama wew sio muhusika wa hizi mambo huwezi kuelewa,hiyo tunaandika tyu b.chem nadhan watundu na wanaofahamu wanaelewa.
Hyo cyo education Mbona unaingilia fani za watu.Bachelor of science in chemistry,kwa kiswahili ni shahada ya kwanza ya ukemia.
Interview question: How do you relate Einsteins theory of relativity and everyday events/life?Habari wakuu.....mim ni mkemia nipo hapa kwa ajili ya kuitumia taaluma yangu ya ukemia na uwezo wangu wa kufundisha mim ni mwanafunz wa chuo mwaka wa 2 naenda course ya b.chem lakini pia niko na uzoefu wa kufundisha shule za sekondari takribani miezi 7 na nimefundisha shule tofauti nikiwa mkoani Mbeya nilipomaliza kidato cha sita na nikiwa likizo kipind hiki nipo chuo.lakini kwa sasa nipo likizo mkoani Iringa-iringa mjini hivo naomba kuwa temporary teacher katika shule yoyote ya sekondari hapa mjini kwa muda wa mwezi mmoja na nusu au tution centre yoyote inayohitaji mwalimu wa kemia.
Nawasilisha wakuu....Tujenge pamoja taifa.
Mbuga,hidden,moddy physics,mandella,mwaramsha...Wanafunzi wengi wa shule za serikali wanapitia mikononi mwa watu wasio walimu hadi kufikia mafanikio yao,kwa mfano pale Mchikichini,wengi wao sio hata walimu lakini vijana wengi walio vyuoni hasa wa sayansi wanakiri kusaidiwa sana na hawa mabwana
Mbuga,hidden,moddy physics,mandella,mwaramsha...
Ingawa wengi kama si wote wa walimu hawa hawakusomea taaluma ya ualimu ila wamesaidia na wanasaidia wanafunzi wengi sana.Elias Kihombo,na Chief kwa waliosoma A level mkoa wa Tabora
Teeh.Mimi ni mwalimu mkuu shule fulani ya secondary hapa Iringa mjini na ninatafuta vijana wa tempo ila nipe kwanza tofauti ya element na atom!
Blank page =Blank teacher, provedsasa mkuu,kama wew sio muhusika wa hizi mambo huwezi kuelewa,hiyo tunaandika tyu b.chem nadhan watundu na wanaofahamu wanaelewa.
hamna mkuu,sio ivo we vp?? mbona kaz ndogo tu mtu kam hakuelewa si anauliza kama alivofanya mkuu mmoja humu katika thread nikamjibu vzuri ni vema ukapitia kwanza comments za watu waliotangulia then ndo uje uulize kama unaona kuna kitu hakijakaa saw....maana nilikuwa tayar nimeelezra maana ya b.chem hapo mwanzoBlank page =Blank teacher, proved
duh,okMimi ni mwalimu mkuu shule fulani ya secondary hapa Iringa mjini na ninatafuta vijana wa tempo ila nipe kwanza tofauti kati ya element na atom!
kweli kabisa mkuu,iyo kiti ipo watu ambao si waalimu tunamsaada mkubwa sana kwa wanafunzi kuliko hata waalimu na tunafanya kaz vzuri san,inadepwnd tu na hali ya huyo mtu na ufanisi wake pia au kipaji alichonacho na uwezo wake wa kufundisha.allTeeh.
dah Good question.Interview question: How do you relate Einsteins theory of relativity and everyday events/life?
Social interpretation, you seem to have a good idea of the theory! Nimependa!dah Good question.
i can say that,according to einsteins theory of relativity in our daily life we cant know or predict our future life by considering a place wher we are.