<br />Mi ni mwalimu wa wa sec diploma holder wa history na geography natafuta shule ya kufundisha dar au mkoa wa pwani nimefundisha sana mbali na dar sasa nataka kufanya kazi nyumbani(dar) uzoefu miaka 6 piga no 0653205985
<br />
<br />
haya mwalimu,unafundisha O levo au A levo???[/Q
Diploma hafundishi A-level labda achakachue..ni kwa mhujibu wa utaratibu