Natafuta ajira

HAMISI Nuru

Member
Oct 11, 2019
19
13
Habari zenu wakuu, Kwa majina nahitwa HAMISI JUMA IBRAHIM Nina Degree ya Business Administration natafuta kazi yoyote mkono huende kinywani ila hata ya kufundisha kama ni College Kwa masomo ya biashara, general studies na communication au hata secondary ( centres) na primary nna uzoefu nazo kwasababu nimefundisha vituo kadhaa masomo ya English, Geography, Civics na history.
Location: Dar es salaam
Mawasiliano: 0689 094 097 / 0679 094 097
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom