Maombi ya kazi Ualimu

ze cute

Member
Nov 1, 2021
6
1
Hellow habari zenu....natumaini ni wazima na mnaendelea na shughuli zenu za kimaisha

Mimi ni mhitimu wa 2020 ngazi ya shahada (degree)..nimesoma bachelor ya ualimu katika masomo ya geography na History..

Nina uzoefu wa kufundisha secondary kwa form 1 mpaka form 6.

Jinsia ni (ke)..kwa sasa napatikana Dodoma.

Naomba kwa yeyote mwenye uhitaji wa mwalimu au anaefahamu sehemu yenye uhitaji wa mwalimu aweze kunisaidia kupata kazi.

Kwa ushauri, maoni au pendekezo karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom