Natafuta Tender ya kufundisha|Tuition

Stanley Mims

Member
Aug 29, 2020
47
86
Hello Wanajukwaa.

Natafuta tender ya kufundisha Kingereza au History au yote kwa Level zote za elimu yaani.

  • Basic Level
  • Intermediate Level
  • Advanced Level

Na pia nafundisha History na English Language kwa vidato vyote, yaani O'Level na A'Level.

Mbali na Shule; nafundusha mtu binafsi nyumbani, awe Mwanafunzi ama Mfanyakazi.

Nipo Dar es Salaam.

Mawasiliano 0684436954

Natanguliza Shukurani Wapendwa.
 
Back
Top Bottom