Mwl.Nyerere Vs Kikwete katka Uteuzi wa Maneno

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Dr.J.Kikwete ana tofauti kubwa ukimringanisha na Mwl.Nyerere katika uteuzi wa maneno anapozungumza na umma; hususan, linapojitokeza suala la msamiati wenye kuudhi. Mwl.Nyerere alishindwa kutamka neno "Malaya" akatumia kirai "mama mmoja wa barabarani." Kwa upande wa Dr.J.Kikwete leo akiongea na watanzania kuhusu ugonjwa uliomtatiza pale uwanja wa ndege ametamka neno "Mkojo" mara mbili,, lakini baadaye akatumia tafsida 'haja ndogo'.
 
acheni kumpa airtime mjinga kama hyu cc tuna habari ya pesa yetu iliyoibiwa na majambazi wa escrow. ,maswala ya tezi ni baadaye
 
Back
Top Bottom