Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,007
- 13,727
Mwishoni mwa miaka ya sitini,na mwanzoni mwa miaka ya sabini, kulianzishwa "Operation vijiji" watu walikuwa wakikamtwa mijini nakupakiwa kwenye magari kwenda kuanzisha vijiji vya ujamaa,. Ikumbukwe wakati huo mji kama dsm ulikuwa mdogo wengi wakipenda kuuita mzizima.
Operation iliendeshwa kibabe, watu walivunjiwa nyumba zao bila malipo,operation iliyosimamiwa na kawawa..wakiamini watu wataendelea kuwa 'mafala', na kuwa wakulima huku wakibaki vijijini mwl na kawawa hawakuwa na haja ya kuplan mji km dsm ujengwe vp. Baada ya Azimio la arusha kuwambwa msalabani pale Zanzibar 1992,watu waliokuwa vijijini wakavamia mijini, shughuli za kilimo zikawa c issue tena.
Hapa tuna miji inayopokea wageni km 1000 hivi kwa ck..kila m2 anataka kununua gari,miundo mbinu mibovu,barabara zetu km ile ya uhuru itawezaje kuhimili ongezeko la watu na magari...kama c operation vijiji mji kama Dsm ucngekuwa katika hali tunayoina kwa sasa.