Mwl Nyerere na Kawawa,ndo chanzo cha foleni na misongamano ya magari mijini kama DSM

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,971
13,605
Mwishoni mwa miaka ya sitini,na mwanzoni mwa miaka ya sabini, kulianzishwa "Operation vijiji" watu walikuwa wakikamtwa mijini nakupakiwa kwenye magari kwenda kuanzisha vijiji vya ujamaa,. Ikumbukwe wakati huo mji kama dsm ulikuwa mdogo wengi wakipenda kuuita mzizima.

Operation iliendeshwa kibabe, watu walivunjiwa nyumba zao bila malipo,operation iliyosimamiwa na kawawa..wakiamini watu wataendelea kuwa 'mafala', na kuwa wakulima huku wakibaki vijijini mwl na kawawa hawakuwa na haja ya kuplan mji km dsm ujengwe vp. Baada ya Azimio la arusha kuwambwa msalabani pale Zanzibar 1992,watu waliokuwa vijijini wakavamia mijini, shughuli za kilimo zikawa c issue tena.

Hapa tuna miji inayopokea wageni km 1000 hivi kwa ck..kila m2 anataka kununua gari,miundo mbinu mibovu,barabara zetu km ile ya uhuru itawezaje kuhimili ongezeko la watu na magari...kama c operation vijiji mji kama Dsm ucngekuwa katika hali tunayoina kwa sasa.
 
Huo ndio uwezo wako na upewo wako, pole sana hili si swala la kufikiria huku umeka kiakili kiasi hicho.
 
'duhu' msemo wa MS. Umeandika nini ndugu. No comment. Rated Crap.
 
mbona aliyefuata hakuona humuhimu na je kubadilisha nji kuwa mzuri unachukua muda gani au unataka ucholewe ramani ya master plani ya mji jinsi ya kupunguza msongamano wa magari na darasa la saba ndio uitumie? kama wasomi wetu hawakufanya hivyo
 
Tatizo lenu wote mnaogopa kumkosoa nyerere,!nyerere mwenyewe ananini kilichosalia?!,huo muungano wenyewe kwa sasa mahututi,..yeye na kawawa waliona wao ndo wabaki town,cye 2kalime...wakabweteka. Wakidhani mji haukui. Sasa wa2 wamewastukia wote 2merudi town,2nabanana..wao ndo tatizo
 
Tatizo lenu wote mnaogopa kumkosoa nyerere,!nyerere mwenyewe ananini kilichosalia?!,huo muungano wenyewe kwa sasa mahututi,..yeye na kawawa waliona wao ndo wabaki town,cye 2kalime...wakabweteka. Wakidhani mji haukui. Sasa wa2 wamewastukia wote 2merudi town,2nabanana..wao ndo tatizo
 
Hainiingi akilini mimi nilie hai ninapoanza kumlaum marehem kwa changamoto zinazo nikabili (potelea mbali hata kama marehem alisababisha) Kumbuka marehem hatorudi kutatua changamoto zako! Mnashindwa hata kufata ushauri mzuri alowaachia mnaanza kutafuta weakness zisizo kuwepo hata. Ni kujitia upofu tu huku tukikwepa kushughulikia matatizo yetu.WACHA LAWAMA KWA MALEHEM WEWE NI UZEMBE WA HALI YA JUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani tatizo la foleni dar ni la historia, plan ya dar iliachwa na mjerumani 1918 baada ya vita ya kwanza ya dunia, baada ya hapo muingereza hakufanya chochote tanzania, sasa tunategea nini? Mwl alijua hilo ndio maana alipendekeza mji mkuu uwe dodoma ambako wangeweza kujipanga upya
 
Nyerere mara ya mwisho kuwa raisi ilikuwa 1985 miaka 26 iliyopita na kawawa ni miaka mingi zaidi. Hatuwezi kuwalaamu hawa wazee wakati tulikuwa na miaka 26 ya kufanya maendeleo. Maendeleo yote yanatokana na sera na hatujui wakati huo dunia ilikuwaje hapa Tanzania lakini tunajua sasa kwamba kwa miaka 26 ni pumba tu tunakula!!
 
..wakati Mwalimu anaondoka madarakani kulikuwa hakuna foleni kama hizi unazoziona sasa hivi.

..waliokuwa wakikamatwa enzi za Mwalimu na kupelekwa gezaulole si waathirika wa operesheni vijiji iliyofanyika mikoa ya kusini.

..enzi za Mwalimu "wamachinga" wengi walikuwa vijana toka mikoa ya kaskazini waliohamia kwa wingi mjini na kuanzisha biashara za kuchoma nyama[mishkaki], kushona na kupiga rangi viatu.

..wakati wa utawala wa Mzee Mwinyi ndipo palipoibuka kundi kubwa zaidi la "wamachinga" this time wakitokea mikoa ya Kusini mwa Tanzania.

..sijui ni kitu gani kimesababisha tukashindwa kushughulikia tatizo la "wamachinga" kwa zaidi ya miaka 25 tangu Mwalimu aondoke madarakani.
 
Back
Top Bottom