Mwl. Nyerere hapa hukutenda haki ila Mungu akusamehe

Nchi ambazo tulikuwa sawa kiuchumi wakati wa Uhuru kwasasa wako mbali sana

Nalaumu kuwa nyumba ni msingi kwahivyo hakukuwa na msingi mzuri katika awamu ya kwanza
 
Mimi sijaona tatizo hapo shida ni wewe uliezaliwa katika mfumo huu wa kibepari na vyama vingi, kwa sisi tuliozaliwa katika mfumo wa kijamaa na chama kimoja hatukuona hiyo shida unayoitoa, lakini pale zamani tulikuwa na redio ilikuwa inahitwa Player ili icheze lazima uweke santuri ndio ilie mfano wa santuri ilikuwa inaonekana kama CD na pia tulikuwa na Redio Kaseti ilikuwa double deck na single deck na kanda tulikuwa tunaludisha nyuma kwa peni sasa ukianza kuviangalia vitu hivyo kama vipo kwenu ujue lazima utamuona mzazi wako kama alikuwa mjinga hivi akuweza kufikilia kumbe wakati vitu hivyo vilikuwepo kulikuwa hakuna mbadala. Jaribu kujiuliza na utoe mbadala wake ndio utaweza kuuliza vizuri

Mkuu, kajifunze kuandika kiswahili.
 
Kila binadam uja Duniani kwa malengo mazuri ingawa sio kwa aslimia zote au muda wake wote awapo Duniani basi uyatenda mema peke yake. Hayati Mwl. Julius Kambarege Nyerere kweli yapo uliyofanya kwa faida ya watanzania lakini mengine kweli hayakua faida kwa watanzania. Yafuatayo ni haya mambo ambayo mpaka leo yamekua zigo la misumari kwa watanzania
1.Kuanzisha na kuiacha madarakani CCM
2.Kuunganisha Tanganyika na Zanzibar
3.Kuiacha katiba ya 1977 ikiwa bado inatumika wakati muda wake ulikua umeisha
4.Kuzifanya mali za wananchi kua za CCM
5.Kufuta uongozi wa kimila wakati ukijinasibu kuenzi tawala na tamaduni za Afrika
6.Kuleta sera za Ujamaa na Kujitegemea
Mungu akusamehe kama nasi tulivyo kusamehe lakini hatuwezi kamwe kusahau hii mizigo ya misumari uliyotuachia kwenye vichwa visivyo na nywele..

Nadhani u oppressor wa consciousness yako, yeye alizanzisha sisi tuliopo tuna power na Uwezo wa kubadili
 
Unataka kubadili wakati amekuachia mfumo ambao haupo tayari kupokea mabadiriko mkuu.
Hivi mfano CCM utaibadirishaje wakati falsafa yao nikutokubadirika.
 
Narudia "u-oppressor of your own consciousness" never expect them to change rather than they will maintain their own status quo soma signature yangu yaweza kukusaidia pia kuelewa naongea nini
 
Kwasasa tuna mfumo ambao huko serious na watu ambao wanakua na mawazo mbadara kuliko kua serious na matatizo ya watanzania. ..Hii ni mbegu iliyopandwa na Nyerere kupitia CCM na katiba. Kumbuka kuanzishwa kwa SHIHATA na sheria zake .
..Pia kuna watu wanasema eti alileta Ujamaa hivi huo ulikua Ujamaa au Dola ya Kibepari (State Capitalism)
Tunamsamehe lkn hatuwezi kusahau kamwe maana zigo kubwa tumeachiwa
 
Kila binadam uja Duniani kwa malengo mazuri ingawa sio kwa aslimia zote au muda wake wote awapo Duniani basi uyatenda mema peke yake. Hayati Mwl. Julius Kambarege Nyerere kweli yapo uliyofanya kwa faida ya watanzania lakini mengine kweli hayakua faida kwa watanzania. Yafuatayo ni haya mambo ambayo mpaka leo yamekua zigo la misumari kwa watanzania
1.Kuanzisha na kuiacha madarakani CCM
2.Kuunganisha Tanganyika na Zanzibar
3.Kuiacha katiba ya 1977 ikiwa bado inatumika wakati muda wake ulikua umeisha
4.Kuzifanya mali za wananchi kua za CCM
5.Kufuta uongozi wa kimila wakati ukijinasibu kuenzi tawala na tamaduni za Afrika
6.Kuleta sera za Ujamaa na Kujitegemea
Mungu akusamehe kama nasi tulivyo kusamehe lakini hatuwezi kamwe kusahau hii mizigo ya misumari uliyotuachia kwenye vichwa visivyo na nywele..
Ndomaana hata katika maisha yangu sitaweza kumuita nyerere baba wa taifa wakati katutendea ukatili mkubwa namna hii. Mnaomuita muiteni Mimi sitaki kuupa moyo wangu tabu
 
Kila binadam uja Duniani kwa malengo mazuri ingawa sio kwa aslimia zote au muda wake wote awapo Duniani basi uyatenda mema peke yake. Hayati Mwl. Julius Kambarege Nyerere kweli yapo uliyofanya kwa faida ya watanzania lakini mengine kweli hayakua faida kwa watanzania. Yafuatayo ni haya mambo ambayo mpaka leo yamekua zigo la misumari kwa watanzania
1.Kuanzisha na kuiacha madarakani CCM
2.Kuunganisha Tanganyika na Zanzibar
3.Kuiacha katiba ya 1977 ikiwa bado inatumika wakati muda wake ulikua umeisha
4.Kuzifanya mali za wananchi kua za CCM
5.Kufuta uongozi wa kimila wakati ukijinasibu kuenzi tawala na tamaduni za Afrika
6.Kuleta sera za Ujamaa na Kujitegemea
Mungu akusamehe kama nasi tulivyo kusamehe lakini hatuwezi kamwe kusahau hii mizigo ya misumari uliyotuachia kwenye vichwa visivyo na nywele..

haya ni malalamiko ya watu wendawazimu, Nyerere alileta Usawa ambao ninyi mnadai mtaukuta mbinguni, km ni hivyo basi chomeni moto vitabu vyenu vya dini, hiyo katiba unayoilalamikiwa wewe kwa wakati ule ilipiganiwa kwa hali na mali hata kuwaondoa wakoloni, kupuuza katika hii ya 1977 ni sawa na kujipuuza wewe mwenyewe, labda nikuulize swali hivi hapo ulipo unaweza kuipuuza hali uliyokuwa nayo UTOTONI nakuiita kuwa ni yakipumbavu? Nyerere alipigana akafanikisha kuuondoka ukoloni na kupata katiba unayoilalamikia, WEWE UMEIFANYIA NINI TANZANIA?

NYRERE hayupo, wewe UPO ni jukumu lako wewe kuhakikisha kuwa unasimamia upatikanaji wa katiba mpya si kulalamika
 
Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Mwenye enzi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi) ni mmoja kati ya watu wachache sana makini na wakutilia mfano. Nakubali hakuwa malaika wala muungu, alifanya makosa hapa na pale ila ameacha mema mengi (legacy) kiasi cha kufanya hii thread yako kuwa moja kati ya thread zilizo sheheni ujinga wa hali ya juu kabisa. Hayati baba yetu wa taifa, pamoja na udogo wa uchumi wa Tanzania ya wakati ule alifanikiwa kufanya mambo yafuatayo:
1. Alisomesha watoto wote wa ki-Tanzania bure na kupiga vita adui ujinga,
2. Alifungua viwanda vingi kabisa na kupunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira,
3. Aliboreshe huduma za hospitalini na kuzifanya kuwa kwenye kiwango cha kutukuka,
4. Aliimarisha na kuustawisha ushirika na kuhakikisha mazao ya mkulima yanapata soko na wakulima wanapata pembejeo kwa wakati,
5. Aliondoa matabaka kwa kuleta usawa katika jamii nyingi za kitanzania,
6 Alikuza matumizi ya lugha ya kiswahili, na mambo mengine mengi

Kimsingi, mwalimu hakuwa mbinafsi wala mbadhirifu tofauti na viongozi wa mataifa mengine ya Afrika katika kipindi kile, bali yeye ndiyo aliyejenga misingi imara ya nchi yetu na kukuza kuaminiana, undugu, ummoja na kuchochea amani ya taifa letu.
Nikweli lakini misingi alio iacha hakuna hata mmoja baada yake aliye ifuata.... Hata huyu mungu MTU ni hakuna nawaona sana mnakoleza mapenzi ila wazalendo hata sikumoja hatusapot ujinga..... Nyerere alijitahidi na alikuwa great thinker lakini alichokosea nimfumo wake wa ujamaa nakuwaacha watanzania wajinga tatizolenu mnapo ambiwa watanzania niwajinga mnakimbilia kutoa elimu bure. Kutoa elimu bure sitatizo ujinga wawatanzania nikuwa hawana elimu ya uraia ambayo ccm imewanyima watanzania ili wasijitambue..... Nihapotu mkuu nawanafanya haya kwa maslahi binafsi nasi yataifa
 
haya ni malalamiko ya watu wendawazimu, Nyerere alileta Usawa ambao ninyi mnadai mtaukuta mbinguni, km ni hivyo basi chomeni moto vitabu vyenu vya dini, hiyo katiba unayoilalamikiwa wewe kwa wakati ule ilipiganiwa kwa hali na mali hata kuwaondoa wakoloni, kupuuza katika hii ya 1977 ni sawa na kujipuuza wewe mwenyewe, labda nikuulize swali hivi hapo ulipo unaweza kuipuuza hali uliyokuwa nayo UTOTONI nakuiita kuwa ni yakipumbavu? Nyerere alipigana akafanikisha kuuondoka ukoloni na kupata katiba unayoilalamikia, WEWE UMEIFANYIA NINI TANZANIA?

NYRERE hayupo, wewe UPO ni jukumu lako wewe kuhakikisha kuwa unasimamia upatikanaji wa katiba mpya si kulalamika
Sijui kama unajua vizuri Historia ya nchi hii kabisa...Na kama unaijua umemezeshwa Historia ya kwenye mabanda ya Tuition kabisa labda nikusaidie unajua mwaka 1910 na 1948 Bunge la Uingereza lilipitisha nini kuhusu Ukoloni barani Afrika.Nyerere alichopigania nikua mkuu wa nchi wa kwanza basi.
Pia unapo sema uwezi kuchukua utotoni kwakua umekua mtu mzima.Labda nikuulize kama utotoni ulikua na tabia ya kukojoa kitandani na kukwepa kwenda shuleni ukipata mtoto utamruhusu awe na tabia kama hizo?
Je unajua katiba ya 1977 ilipatikanaje au unaongea tyuuuu...Kuanzia katiba ya 1965 na hii ya leo ni majanga na zigo kubwa kwa wananchi.
Kutuachia CCM,Katiba ya 1977,Ujamaa na Muungano ni zigo kubwa la misumari kwenye vichwa visivyokua na nywele
 
Sijui kama unajua vizuri Historia ya nchi hii kabisa...Na kama unaijua umemezeshwa Historia ya kwenye mabanda ya Tuition kabisa labda nikusaidie unajua mwaka 1910 na 1948 Bunge la Uingereza lilipitisha nini kuhusu Ukoloni barani Afrika.Nyerere alichopigania nikua mkuu wa nchi wa kwanza basi.
Pia unapo sema uwezi kuchukua utotoni kwakua umekua mtu mzima.Labda nikuulize kama utotoni ulikua na tabia ya kukojoa kitandani na kukwepa kwenda shuleni ukipata mtoto utamruhusu awe na tabia kama hizo?
Je unajua katiba ya 1977 ilipatikanaje au unaongea tyuuuu...Kuanzia katiba ya 1965 na hii ya leo ni majanga na zigo kubwa kwa wananchi.
Kutuambia CCM,Katiba ya 1977,Ujamaa na Muungano ni zigo kubwa la misumari kwenye vichwa visivyokua na nywele
Naijua sana historia ya Tanganyika yangu kuliko unavyodhani,
nami nakuuliza unajua kuzaliwa kwa Nyerere kulikuwaje? waliokuwa wanashindania kuwa masultani wa nchi ilikuwa ni kundi la kina Tambaza na si Nyerere, kasome historia ya Nyerere vizuri.

kwenye record za historia swali ulilouliza la waingireza kuhusu Afrika halipo, utakuwa umekosea unachotaka kusema ni azimio la nchi za ulaya lililofanyika Ubelgiji lililowaagiza waleta nini cha kufanya ili wapate kutawala Afrika vizuri.

unamaanisha alichokifanya Nyerere ni kuikojolea Tanganyika?

ninajua sana ilivyopatikana, huo mzigo unaosema ni mzigo gani? au Nyerere kuanzisha Viwanda na mashirika ya Umma ambayo ninyi mlikuja kuyauza kitapeli?
 
Sijui kama umeelewa labda kama kuna jirani hapo mwambie akusomee alafu akueleze ninacho kuandika.1918.1922,1948 unajua Bunge la Uingereza lilipitisha nini kuhusu Ukoloni wao hapa Afrika? Nyerere alikua mpigania nafasi ya kua rais wa kwanza na kuamiwa na Waingereza na ikawa ivyo..Tatizo mmejaa Nationalism History of Africans bila ata kuhoji mengine.
Katuachia zigo CCM,Katiba mbovu, Muungano Ukoloni,Ujamaa Maskini etc tutamsamehe lkn hatuwezi kusahau
 
Kama kuna kosa kubwa Mwalimu alilolifanya na ambalo linafuta mema yote aliyyafanya ni kujiona kama mungu.

Fikiria kauli kama hii "zidumu fikra sahihi za mwenyekiti". Hakuwahi kukemea wala kuwazuia wapambe wasitumie lugha hiyo. Aliye sahihi ni Mungu pekee yake, hakuna binadamu anayeweza kudai kuwa fikra zake ndiyo sahihi na wengine ni kufuata tu.

Hiki kiburi ndicho kilimfanywa kuwaweka ndani wote wale waliozungumza kinyume chake. Watu waliozea magerezani na wengine wakakimbilia uhamishoni. Masikini Aboud Jumbe alipoeleza kinyume na mwenyekiti mwenye mawazo sahihi aliwekwa kizuizini mpaka mwisho wa maisha yake.

Hii haikuwa sawa hata kidogo, na mimi nikikumbuka hili tu huwa siyaoni mazuri aliyoyatenda. Kwa bahati mbaya sana tunaliona hili likijirudia katika awamu hii ya tano ya uongozi wa taifa letu. Kama mkuu hata achia uhuru kwa watanzania, hata anunue mandege mangapi, historia itamhukumu vibaya tu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
hivi wewe historia unaifahamu au unababaisha, mwanzo uliuliza Unajua Bunge la Uingireza lilipitisha ni kuhusu ukoloni wao hapa aFrika ktk miaka 1910 na 1948. swali hilo hilo tena unaliuliza kwa miaka tofauti 1918, 1922, 1948, sasa usahihi wa historia yako uko wapi? km sio ubabaishaji?

niliomba unipe ufafanuzi wa Mwalimu alizaliwaje hujanipa, badala yake umeendelea kuniuliza maswali ambayo nayahesabu km ni matusi.

ni kwasababu una mawazo ya mgando ndio maana unaikana Nationalism na kukumbatia ukoloni kupitia dini, dini zote unazozikumbatia zimeletwa na ukoloni, zimewafanya watu kutoheshimu na kujali Nationalism zao hayo ni MATUSI MAKUBWA, sasa nisipojaa Nationalism ulitaka nijae nini? hata Mungu amejaa Umungu ambayo ndio Nationalism yake. pole sana kwa kutojali Nationalism yako.

umeng'ang'ana Mwalimu kakuachieni mizigo, hivi katiyako wewe na Mwalimu nani Mtakatifu? unalazimisha watu wamsamehe wamsamehe kwa lipi? hamuwezi kusahau wwe na nani?
 
Kama kuna kosa kubwa Mwalimu alilolifanya na ambalo linafuta mema yote aliyyafanya ni kujiona kama mungu.

Fikiria kauli kama hii "zidumu fikra sahihi za mwenyekiti". Hakuwahi kukemea wala kuwazuia wapambe wasitumie lugha hiyo. Aliye sahihi ni Mungu pekee yake, hakuna binadamu anayeweza kudai kuwa fikra zake ndiyo sahihi na wengine ni kufuata tu.

Hiki kiburi ndicho kilimfanywa kuwaweka ndani wote wale waliozungumza kinyume chake. Watu waliozea magerezani na wengine wakakimbilia uhamishoni. Masikini Aboud Jumbe alipoeleza kinyume na mwenyekiti mwenye mawazo sahihi aliwekwa kizuizini mpaka mwisho wa maisha yake.

Hii haikuwa sawa hata kidogo, na mimi nikikumbuka hili tu huwa siyaoni mazuri aliyoyatenda. Kwa bahati mbaya sana tunaliona hili likijirudia katika awamu hii ya tano ya uongozi wa taifa letu. Kama mkuu hata achia uhuru kwa watanzania, hata anunue mandege mangapi, historia itamhukumu vibaya tu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

aliwahi kuutangazia umma kuwa yeye ni MUNGU MTU?

unaweza ukaleta ushahidi alipokuwa akitamka hizo kauli zake kuwa Fikra zake km mwenyekiti zidumu?

Miungu watu mnao huko kwenye dini zenu wanaokusanya sadaka na zaka wakidai kwamba ni mali ya Mungu wakati hata senti moja Mungu hajawahi kuja kuchukua wala hawajawahi kumpelekea,
 
Utakua umechanganya mada mkuu...Zigo la misumari linatuumiza wananchi...CCM, Katiba mbovu,Muungano Ukoloni,Ujamaa Maskini nk...Tunamsamehe ila hatuwezi kusahau
 
Back
Top Bottom