Mwl. Nyerere hapa hukutenda haki ila Mungu akusamehe

Mengineyo nakuunga mkono. Ila hilo la kufuta utawala wa kimila alifanya jambo la maana. Nauchukia sana ujamaa.
 
Utakua umechanganya mada mkuu...Zigo la misumari linatuumiza wananchi...CCM, Katiba mbovu,Muungano Ukoloni,Ujamaa Maskini nk...Tunamsamehe ila hatuwezi kusahau
mbona hujanijibu maswali yangu hilo ulilojitiba si tatizo la Mwalimu ni tatizo lako, kazi yako na wenzio ni kulalamika tu, utumwa uliofanywa na waarabu wa kufira na kuwauza babu zetu na uongozi wa mwalimu upi bora?
 
mbona hujanijibu maswali yangu hilo ulilojitiba si tatizo la Mwalimu ni tatizo lako, kazi yako na wenzio ni kulalamika tu, utumwa uliofanywa na waarabu wa ku**** na kuwauza babu zetu na uongozi wa mwalimu upi bora?

Hivi kijiarabu kije na jahazi toka wapi sijuwi huko, kianze kukamata vikaka vilivyoshiba na vina vigimbi vya kukimbizana na swala na Simba porini na vikaka vinakubali tu?

Mimi nnauhakika hao "babu zetu" ndiyo wahusika wakuu wa kuwauza watumwa wachache kwa Waarabu na wengi zaidi kwa wazungu. Tazama Amerika yote kuanzia kusini mpaka kaskazini ilivyojaa watu weusi.

Wewe utakuwa ni mkristo na wazungu wamekudanganya na umedanganyika.
 
Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Mwenye enzi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi) ni mmoja kati ya watu wachache sana makini na wakutilia mfano. Nakubali hakuwa malaika wala muungu, alifanya makosa hapa na pale ila ameacha mema mengi (legacy) kiasi cha kufanya hii thread yako kuwa moja kati ya thread zilizo sheheni ujinga wa hali ya juu kabisa. Hayati baba yetu wa taifa, pamoja na udogo wa uchumi wa Tanzania ya wakati ule alifanikiwa kufanya mambo yafuatayo:
1. Alisomesha watoto wote wa ki-Tanzania bure na kupiga vita adui ujinga,
2. Alifungua viwanda vingi kabisa na kupunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira,
3. Aliboreshe huduma za hospitalini na kuzifanya kuwa kwenye kiwango cha kutukuka,
4. Aliimarisha na kuustawisha ushirika na kuhakikisha mazao ya mkulima yanapata soko na wakulima wanapata pembejeo kwa wakati,
5. Aliondoa matabaka kwa kuleta usawa katika jamii nyingi za kitanzania,
6 Alikuza matumizi ya lugha ya kiswahili, na mambo mengine mengi

Kimsingi, mwalimu hakuwa mbinafsi wala mbadhirifu tofauti na viongozi wa mataifa mengine ya Afrika katika kipindi kile, bali yeye ndiyo aliyejenga misingi imara ya nchi yetu na kukuza kuaminiana, undugu, ummoja na kuchochea amani ya taifa letu.
Siongezi neno.
 
Hivi kijiarabu kije na jahazi toka wapi sijuwi huko, kianze kukamata vikaka vilivyoshiba na vina vigimbi vya kumbizana na swala na Simba porini na vikaka vinakubali tu?

Umekaliwa na udini ukakaliwa kwelikweli! Hata pasipohusika huoni shida!!! Pole sana.
 
Woooow! Mwenye masikio na asikie.
 
Hivi kijiarabu kije na jahazi toka wapi sijuwi huko, kianze kukamata vikaka vilivyoshiba na vina vigimbi vya kumbizana na swala na Simba porini na vikaka vinakubali tu?

Mimi nnauhakika hao "babu zetu" ndiyo wahusika wakuu wa kuwauza watumwa wachache kwa Waarabu na wengi zaidi kwa wazungu. Tazama Amerika yote kuanzia kusini mpaka kaskazini ilivyojaa watu weusi.

Wewe utakuwa ni mkristo na wazungu wamekudanganya na umedanganyika.
Dini kwangu haina faida yeyote, naona umeguswa penyewe na hii inaonyesha wazi ni matunda ya waarabu kufanya kazi kubwa kusadikisha dini yao ya jihad, nani asojua, dunia nzima inajua nini waarabu walifanya walipokuja Afrika kutangaza dini yao alifanya mauaji ya kikatili ya hali ya juu, mfano mzuri pale walipovamia Afrika kaskazini, walichinja watu kama kuku, waliwaingilia babu zetu kinyume na maumbile, kosa letu ni rangi yetu nyeusi walituchukulia mashetani na makafiri

Huu ni ushenzi usioweza kusamehea waliotufanyia hawa wakoloni kwa mgongo wa dini
 
Sijawahi kuisikia hiyo "dini ya Jihad".

Ujinga ni wa babu zako waliokufanya ukubali kuwa mzungu ndiyo mungu wako, hata afanyapo dhambi huzioni.

Towa z katika mzungu, inabaki nini?
 
umekubali kuwa waarabu ni makaatili eenh waliwatesa babu zetu kwa kuwachinja na kuwaingilia kinyume na maumbile, si ndio umekubali
 
7. Kuvunja EAMWS na kuleta Bakwata.
8. Azimio la Arusha kupora Mali za Wakulima hodari Kama kina Saed Mwamwindi na kuzifanya za Serikal eti kuleta usawa wa Kipato Kati ya Wavivu na Wachapakazi
 
Yanayo tutesa ni hayo ambayo wapo wanao diriki kusema eti ni mazuri mfano kuanzisha CCM,Katiba ya 1977 na kuunganisha Tanganyika kitu ambacho kimeifanya Zanzibar itawaliwe na nchi ambayo nayo ilipoteza jina lake halisi la Tanganyika kwa kuweka indirect colinialism
Nyerere kwa wakati wake alifanya yaliyokuwa ndani ya uwezo wake ila sisi kwa wakati huu mawazo yetu ni muhimu zaidi kwa ajili ya kuboresha/kurekebisha hayo matatizo, je wewe umetimiza wajibu wako?
 
Kila binadam uja Duniani kwa malengo mazuri ingawa sio kwa aslimia zote au muda wake wote awapo Duniani basi uyatenda mema peke yake. Hayati Mwl. Julius Kambarege Nyerere kweli yapo uliyofanya kwa faida ya watanzania lakini mengine kweli hayakua faida kwa watanzania. Yafuatayo ni haya mambo ambayo mpaka leo yamekua zigo la misumari kwa watanzania
1.Kuanzisha na kuiacha madarakani CCM
2.Kuunganisha Tanganyika na Zanzibar
3.Kuiacha katiba ya 1977 ikiwa bado inatumika wakati muda wake ulikua umeisha
4.Kuzifanya mali za wananchi kua za CCM
5.Kufuta uongozi wa kimila wakati ukijinasibu kuenzi tawala na tamaduni za Afrika
6.Kuleta sera za Ujamaa na Kujitegemea
Mungu akusamehe kama nasi tulivyo kusamehe lakini hatuwezi kamwe kusahau hii mizigo ya misumari uliyotuachia kwenye vichwa visivyo na nywele..

pole unalaumu kwa sababu ya hali halisi ya nchi kwa sasa, ila ki ukweli alikuwa na LENGO zuri.period
 
Kila binadam uja Duniani kwa malengo mazuri ingawa sio kwa aslimia zote au muda wake wote awapo Duniani basi uyatenda mema peke yake. Hayati Mwl. Julius Kambarege Nyerere kweli yapo uliyofanya kwa faida ya watanzania lakini mengine kweli hayakua faida kwa watanzania. Yafuatayo ni haya mambo ambayo mpaka leo yamekua zigo la misumari kwa watanzania
1.Kuanzisha na kuiacha madarakani CCM
2.Kuunganisha Tanganyika na Zanzibar
3.Kuiacha katiba ya 1977 ikiwa bado inatumika wakati muda wake ulikua umeisha
4.Kuzifanya mali za wananchi kua za CCM
5.Kufuta uongozi wa kimila wakati ukijinasibu kuenzi tawala na tamaduni za Afrika
6.Kuleta sera za Ujamaa na Kujitegemea
Mungu akusamehe kama nasi tulivyo kusamehe lakini hatuwezi kamwe kusahau hii mizigo ya misumari uliyotuachia kwenye vichwa visivyo na nywele..

Na wewe Mungu akusamehe sana kwa kuzaliwa kichwa nazi, badala ya maisha kusonga mbele bado unahangaika na watu waliotangulia mbele za haki , inaonyesha ni jinsi gani ulivo na akili mgando kichwani, ni mara ngapi nyerere amesema yeye ni binadamu na kuna makosa kafanya akituasa tuchukue mazuri na mengine tuache, mpumbavu kama wewe badala ya kuhangaika kurekebisha unapopaona unabaki kulaumu marehemu, jinga kweli wewe, ulitaka afanye kila kitu, basi kichwa chako kisingekuwa na ubongo maji ya nazi yangetosha tu.
 
Jee, unafahamu kuwa meli ya kwanza ya Waingereza kupeleka watumwa Amerika ilikuwa inaitwa Jesus aka Yesu. Sasa Mwarabu na Jesus wapi na wapi? Jisomee:

http://howafrica.com/how-come-black-folks-dont-run-when-they-hear-the-name-jesus/
Yesu ni jina linaloweza kutumiwa na mtu yeyote yule hata wewe unaweza kuitwa Yesu, ukiitwa Yesu haimaniishi wewe ni Mungu, hiyo Meli inahusiana vipi na biashara ya utumwa iliyokuwa inaendeshwa na waarabu huko Afrika mashariki? kwa kuwa wewe ni muumini wa waarabu nakwambia hivi, ni kweli wzungu na waarabu wote walifanya biashara ya utumwa lkn waarabu walikuwa makatili sana kupindukia kuliko wazungu, waarabu walikamata watumwa mil 6 wengine waliingiliwa kinyume na maumbile na walio baki walichinjwa ndio maana hakuna masalia ya waafrika arabuni, tunashukuru wazungu waliowachukua watumwa waafrika masalia yao yanaonekana, hii inaonesha kwamba wazungu ni waungwana kuliko waarabu
 
Back
Top Bottom