Mwl. Nyerere hapa hukutenda haki ila Mungu akusamehe

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,046
Kila binadam uja Duniani kwa malengo mazuri ingawa sio kwa aslimia zote au muda wake wote awapo Duniani basi uyatenda mema peke yake. Hayati Mwl. Julius Kambarege Nyerere kweli yapo uliyofanya kwa faida ya watanzania lakini mengine kweli hayakua faida kwa watanzania. Yafuatayo ni haya mambo ambayo mpaka leo yamekua zigo la misumari kwa watanzania
1.Kuanzisha na kuiacha madarakani CCM
2.Kuunganisha Tanganyika na Zanzibar
3.Kuiacha katiba ya 1977 ikiwa bado inatumika wakati muda wake ulikua umeisha
4.Kuzifanya mali za wananchi kua za CCM
5.Kufuta uongozi wa kimila wakati ukijinasibu kuenzi tawala na tamaduni za Afrika
6.Kuleta jamaa
 
Ukisoma vitabu vya Nyerere karubu kila alicho kifanya alikuwa na sababu ya msingi tuu, sema baadaye matokeo ndio mengi haya kuwa mazuri.
Ila kwenye ishu ya utawala wa ki chifu ume muonea hapo alifanya jambo la maana sana
 
Back
Top Bottom