Mwl Nyerere alisema anaweza kumwita mtu mjinga lakini si mpumbavu

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,455
12,330
Nilikua naskiliza hotuba ya Nyerere ITV kuhusu ubaguzi wa rangi, makabila, na udini, mzee alikua kichwa sana, haya ya udini alishayaona na ndo hayo yanayotokea, kuna watu (waislamu/wakristo) wanataka nchi iwe ya kwao ni WAJINGA.
 
:disapointed: Jioni hii ITV imerusha hotuba ya baba wa taifa Mwl Julius K Nyerere na moja ya maneno aliyosema ni kwamba anaweza kumwita mtu mjinga kwa lugha ya kimombo ''illiterate'' lakina hawezi kumwita mpumbavu kwa lugha ya kigeni ''stupid" Kwa wale wanaosema Mh Pinda kuitwa Mpumbavu sio tusi basi waelewe Mwl alitutoka miaka 15 iliyopita na kwa busara zake alijua kwamba kumwita mwenzio stupid si heshima kama wanaosema mpumbavu ni sifa ya mtu. Haiwezekani kwa mfano umwite baba yako mzazi stupid halafu umwambie hiyo ni sifa yake. ''Mod nakuomba usiondoe hii thread kwa kuwa itasaidia wanachama kujua yapi yaliyo maneno ya matusi na yapi yasiyo. Wacha watu wachangie''
 
Definition of Stupidity

The modern English word "stupid" has a broad range of application, from being slow of mind (indicating a lack of intelligence, care or reason), dullness of feeling or sensation (torpidity, senseless, insensitivity), or lacking interest or point (vexing, exasperating). It can either imply a congenital lack of capacity for reasoning, or a temporary state of daze or slow-mindedness.
In Understanding Stupidity, James F. Welles defines stupidity this way: "The term may be used to designate a mentality which is considered to be informed, deliberate and maladaptive." Welles distinguishes stupidity from ignorance; one must know they are acting in their own worst interest. Secondly, it must be a choice, not a forced act or accident. Lastly, it requires the activity to be maladaptive, in that it is in the worst interest of the actor, and specifically done to prevent adaption to new data or existing circumstances.

Stupidity - Wikipedia, the free encyclopedia
 
ukisoma vema hiyo definition utaona kuwa kitendo cha praimu munista kushindwa kutumia inteligense yake au care au reason moja kwa moja definition hii inamhusu.
ilikuwa ni chagua lake mwenyewe kutamka vile
hakulazimishwa na mtu au ajali ya kuteleza kwa ulimi wake
alitamka kwa hiyari yake mbele ya bunge akimaanisha kama alivotamka.
akimaanisha alichosema na akijua madhara yake. TENA AKAKAZIA TUMECHOKA
akimaanisha polisi watekeleza haraka iwezekanavyo
In that reason we cannot hesitate to say that our praimu munister falls under the aforementioned definition
ukweli ndio huo tusizunguke mbuyu clemence baraka
 
We dogo ebu ficha upumbavu wako,jkt upo intake ipi? Tangu mwl atangulie kumbe ni miaka 15 tayari? Mwalimu wako wa hesabu alikuwa nani?
 
Definition of Stupidity

The modern English word "stupid" has a broad range of application, from being slow of mind (indicating a lack of intelligence, care or reason), dullness of feeling or sensation (torpidity, senseless, insensitivity), or lacking interest or point (vexing, exasperating). It can either imply a congenital lack of capacity for reasoning, or a temporary state of daze or slow-mindedness.
In Understanding Stupidity, James F. Welles defines stupidity this way: "The term may be used to designate a mentality which is considered to be informed, deliberate and maladaptive." Welles distinguishes stupidity from ignorance; one must know they are acting in their own worst interest. Secondly, it must be a choice, not a forced act or accident. Lastly, it requires the activity to be maladaptive, in that it is in the worst interest of the actor, and specifically done to prevent adaption to new data or existing circumstances.

Stupidity - Wikipedia, the free encyclopedia

Tunashukuru kwa kumsaidia huyu mvivu wa kutafuta maana za maneno katika vyanzo tofauti. Amin Amin nakwambia kama kata kuelewa hapa hata akitoka mtu kuzimu hata muelewa. Pia ikukumbwe kwamba kipindi cha baba wa taifa; Wapumbavu walikuwa hawadhihirishi upumbavu wao ndio maana hakulitumia hilo neno. Angekuwa hai hata sasa angekeweza kulitumia kwako, kwa mwigulu, Pinda hata kwa Rais.
 
nilichogundua hapa ni kwamba endapo sugu angetumia neno stupid pinda asingekasirika, bwa hahahahahaa
 
Nilikua naskiliza hotuba ya Nyerere ITV kuhusu ubaguzi wa rangi, makabila, na udini, mzee alikua kichwa sana, haya ya udini alishayaona na ndo hayo yanayotokea, kuna watu (waislamu/wakristo) wanataka nchi iwe ya kwao ni WAJINGA.

Na ujinga huzaa upumbavu yaani stupidity
 
:disapointed: Jioni hii ITV imerusha hotuba ya baba wa taifa Mwl Julius K Nyerere na moja ya maneno aliyosema ni kwamba anaweza kumwita mtu mjinga kwa lugha ya kimombo ''illiterate'' lakina hawezi kumwita mpumbavu kwa lugha ya kigeni ''stupid" Kwa wale wanaosema Mh Pinda kuitwa Mpumbavu sio tusi basi waelewe Mwl alitutoka miaka 15 iliyopita na kwa busara zake alijua kwamba kumwita mwenzio stupid si heshima kama wanaosema mpumbavu ni sifa ya mtu. Haiwezekani kwa mfano umwite baba yako mzazi stupid halafu umwambie hiyo ni sifa yake. ''Mod nakuomba usiondoe hii thread kwa kuwa itasaidia wanachama kujua yapi yaliyo maneno ya matusi na yapi yasiyo. Wacha watu wachangie''

unamaanisha mwl nyerere ni kamusi ya kiswahili? Pia kumbuka hayo yalikuwa ni mawazo yake.
 
:disapointed: Jioni hii ITV imerusha hotuba ya baba wa taifa Mwl Julius K Nyerere na moja ya maneno aliyosema ni kwamba anaweza kumwita mtu mjinga kwa lugha ya kimombo ''illiterate'' lakina hawezi kumwita mpumbavu kwa lugha ya kigeni ''stupid" Kwa wale wanaosema Mh Pinda kuitwa Mpumbavu sio tusi basi waelewe Mwl alitutoka miaka 15 iliyopita na kwa busara zake alijua kwamba kumwita mwenzio stupid si heshima kama wanaosema mpumbavu ni sifa ya mtu. Haiwezekani kwa mfano umwite baba yako mzazi stupid halafu umwambie hiyo ni sifa yake. ''Mod nakuomba usiondoe hii thread kwa kuwa itasaidia wanachama kujua yapi yaliyo maneno ya matusi na yapi yasiyo. Wacha watu wachangie''

Asiyefundishika ndiye mpumbavu. Inawezekana kabisa WM hafundishiki. Mtu aliyemaliza mwaka wa kwanza sheria, na asiye mpumbavu, hawezi kuwaagiza polisi wapige watu.
 
Sugu angesema stupid magamba wasingemind. Tusi la Kingereza kwao siyo ishu. Ndo maana Serukamba alivyosema ---- you hawakumaind. Hivi ---- u kwa kiswahili inatamkwaje?
 
nilichogundua hapa ni kwamba endapo sugu angetumia neno stupid pinda asingekasirika, bwa hahahahahaa
Dah, mkubwa umenifurahisha sana.... Kuna mwana bongo fleva mmoja ameimba MATUSI YA KISWAHILI YANAUMA KULIKO YA KIINGLISHI... We hebu cheki, ingekuwaje kama ile faki yuu ya Serukamba angeisema kwa kiswahili? Mle bungeni nina uhakika Spika angemtoa nje...... Hebu hata wewe itamke hiyo Serukamba kimya kimya halafu tafakari na uchukue hatua.... USICHEKE
 
Kilakitu Nyerere alisema yeye ninani ktk maisha ya mwanadamu?. aliandika Msahafu au Biblia visivyo badirika?. alifanya yake ktk kipindi chake si kila alilolisema lilikuwa sahihi, mi nakeleka sana na kulitumiajinahili, tumia Mungu,Yesu au Mhamad
 
Definition of Stupidity

The modern English word "stupid" has a broad range of application, from being slow of mind (indicating a lack of intelligence, care or reason), dullness of feeling or sensation (torpidity, senseless, insensitivity), or lacking interest or point (vexing, exasperating). It can either imply a congenital lack of capacity for reasoning, or a temporary state of daze or slow-mindedness.
In Understanding Stupidity, James F. Welles defines stupidity this way: "The term may be used to designate a mentality which is considered to be informed, deliberate and maladaptive." Welles distinguishes stupidity from ignorance; one must know they are acting in their own worst interest. Secondly, it must be a choice, not a forced act or accident. Lastly, it requires the activity to be maladaptive, in that it is in the worst interest of the actor, and specifically done to prevent adaption to new data or existing circumstances.

Stupidity - Wikipedia, the free encyclopedia

Asante mkuu kwa hili... Nilichogundua ni kuwa kumwita mtu mpumbavu si tusi kama atakidhi vigezo tajwa hapo juu. Ni sawa na kumwita mtu kichaa, kama ana kichaa kweli huwa si tusi lakini ukimwita hivyo asiye na kichaa, patachimbika
 
Ujinga ukijirudia rudia basi unakuwa upumbavu.
-NDIo maAna waswahili wanasema ujinga saa ya kwenda lakini na saa ya kurudi ukaonyesha ujinga tena basi utakuwa mpumbavu
-nenda kwenye kamusi angalia fool,idiot etc
 
Back
Top Bottom