Mwl Michael (Mnyama) vijana wako tunakukumbuka sana

Emmathias kasema

Senior Member
Jan 29, 2018
111
101
Katika maisha ya kusoma tulipitia Changamoto nyingi sana hasa kwa masomo ya sayansi, kukosa walimu au mwalimu kushindwa kulimdu somo vizuri.

Hapo mwanza kuna mwalimu anaitwa Mwl Michael (Mnyama), ni Mwl ambaye amesaidia vijana wengi sana kufaulu masomo ya hesabu na physics. Huyu Mwl ni mkali wa maths na Physics balaaa, historia inaonesha hajawahi kushindwa na swali la hayo masomo, alikuwa akisolve swali likamshinda anavuta sigara kwanza baada ya hapo swali linaisha.

Leo tunajivua kupitia kwa huyu Mwl, pongezi kwake. Anapatikana Mwanza- nyakabungo.
FB_IMG_1567419252329.jpeg
 
Katika maisha ya kusoma tulipitia Changamoto nyingi sana hasa kwa masomo ya sayansi, kukosa walimu au mwalimu kushindwa kulimdu somo vizuri.

Hapo mwanza kuna mwalimu anaitwa Mwl Michael (Mnyama), ni Mwl ambaye amesaidia vijana wengi sana kufaulu masomo ya hesabu na physics. Huyu Mwl ni mkali wa maths na Physics balaaa, historia inaonesha hajawahi kushindwa na swali la hayo masomo, alikuwa akisolve swali likamshinda anavuta sigara kwanza baada ya hapo swali linaisha.

Leo tunajivua kupitia kwa huyu Mwl, pongezi kwake. Anapatikana Mwanza- nyakabungo.View attachment 1195847
Mchafuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom