Naitafakari ripoti ya Bill Gates, Namtafakari Rais Mwl. Magufuli na Waziri Mkuu Mwl. Majaliwa

Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,466
2,860
Siku mbili zilizopita Tajiri namba 2 duniani na mwanzilishi wa Kampuni ya program za compuer Bill Gates ametoa taarifa kuwa Afrika ina zaidi ya asilimia 60 wa wakazi wake ambao ni chini ya miaka 25.
Caribean na Latin Amerika watu chini ya miaka 25 ni 42…
Kwa lugha rahisi kabisa kila watu 10 Afrika, 6 umri wao ni miaka 25 kushuka chini.

Either Bill Gates kupita ukurasa wake wa tweeter katabainisha kuwa Afrika ni bara lenye wakazi wenye uwezo na fursa kibao. Kwa kuwa sijafanya tafiti na sitaki kugombana TBS, naomba niishie kusema Tanzania ni sehemu ya Afrika, bila shaka utafiti wa Bill Gates hautakuwa mbali sana na uhalisia ulipo hata nyumbani hali kadhalika nchi zingine.

Naomba kutafakari kazi ya kwanza ya kushika chaki ya Mhe. Rais JPM ambae aliwahi kuwa mwl. wa hesabu/hisabati. Yeye akiwa anashika chaki atakubaliana ili kumfanya mwanafunzi wake aelewe somo kuna njia (methodology), mikakati (strategy) na mbinu (technique/tactic) kadhaa ili mada ieleweke na watu wapata maarifa. Kuna mada moja inatumika njia na mkakati “X”, kuna mada unatumia mkakati “Y” kuna mada unatumia “XZ” na kuna zingine unaweza kualika “guest speaker” kuokoa jahazi. Lengo wanafunzi wapate “maujanja” ya kukokotoa hesabu/hisabati. Kwa ufupi kukokotoa ni ujuzi wa tunaojengewa kutatua matatizo yetu kwa njia nyingi, mikakati mingi na mbinu nyingi kadri iwezakanavyo.

Pili nitakari kazi ya Mwl. Majaliwa akishika chaki mara baada ya kuhitimu Mtwara Chuo cha Ualimu. Badae, Mwl. Majaliwa akapata mafunzo ya Elimu ya Michezo Chuo cha Ualimu Butimba na baadae kusoma Chuo Kukuu Dar es Salaam

Mwl. Majaliwa ana ujuzi wa kufundisha masomo ya darasani kama mwl. na kama mkufuzi (mwalimu wa walimu). Baadae akaenda mbali kwa kubobea kwenye “physical education” na hivyo kuwa kocha mtaalamu wa michezo mbalimbali.

Inafahamika kuwa Mhe. Majaliwa ni kocha wa mpira wa miguu na mpaka anaingia bungeni mara ya kwanza 2010-15 alikuwa kocha wa tumu ya wabunge.

Kocha Kasim Majaliwa atakubalina nami ili kushinda mchezo, mikakati na mbinu zinahusika sana. Formation moja ikigoma lazima kubadili formation ikiwezekana hata wachezaji ili kupata ushindi huku timu ikijilinda kutoruhusu goli.

Baada ya tafakiri hiyo naomba kunukuu Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015…

“Katika miaka mitano ijayo (2015-2020), CCM ikiwa madarakani, itazielekeza Serikali

zake kutumia nguvu zake zote kuendelea kupambana na changamoto kubwa nne:-

Kwanza kuondoa umaskini;

pili kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira hasa kwa vijana;

tatu kuendeleza vita dhidi ya adui rushwa na ubadhirifu wa mali ya umma; na

nne kuendelea kudumisha amani, ulinzi na usalama wa maisha ya wananchi na mali zao.

Naomba nijikite kwenye kuwa sehemu ya utatuzi wa changamoto mbili za kuondoa umasikini na kupunguza ukosefu ajira kwa vijana, naomba nitafakari machache kwa sauti huku nikiirudia ripoti ya Bill Gates ya kuwa Afrika tuna vijana wengi ambao ni nguvu kazi na fursa kwa kuwatumia kuzalisha, ni fursa ya soko ya bidhaa na huduma tokana na uwekezaji uwe wan je au ndani ya nchi.

Ilani ya CCM ambayo ndiyo imeweka seriklai iliyoko madarakani imejielekeza kutumia nguvu zake zote kuendelea kupambana na changamoto ya kuondoa umaskini; na kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana.

Sifa kwenu na nawapongeza sana Rais JPM na Waziri Mkuu Majaliwa ninyi mkisimamia mambo huwa mnayasukuma with all it take, kuhakikisha mnachokitaka kinafanyika.

Ila ukishuka huku chini kwa watendaji ambao ni key katika kupambana kuondoa umasikini kwa mifumo rasmi ya kufungua viwanda au biashara kwa lengo la kutengeneza faida na ajira, kasi ya watendaji huku chini inachelewesha mambo kwa jina la “sera” haisemi hivyo au si “utaratibu wa serikali”. Wanaosema hivyo wapo kwenye viti vya kuzunguka na huoni kama wanafikiri nje ya “box” la sera/taratibu/kanuni na mazoea.

Kwa namna hii tunajichelewesha kama timu ya ushindi. Ikumbukwe, mafanikio ya biashara/kiwanda chochote, kwenye kila mauzo 18% ni VAT inaingia serikalini. Faida ikipatikana mwisho wa mwaka 30% inakatwa kama corporate tax. Achilia mbali bishara itanunua huduma kama umeme, maji, bima, michango ya mifuko ya kijamii, CSR n.k.

Watendaji wa halmshauri kwenye madawati ya biashara, BRELA na maafisa wa TRA wanaokadiria kodi, maafisa ardhi, NEMC je wanajituma kwa ile dhana ya “kutumia nguvu zake zote”.

Majibu ya sera/taratibu na kanununi za serikali haisemi hivyo iko sawa kabisa kwa wanaoyatoa. Ila athari yake inachelewesha mwendo na kasi ya kufanikisha mambo. Sio muumuni wa kukiuka sera na kanuni ambazo zinatuingiza chaka na kuleta hasara. Ila kanuni na sera ambazo hazina positive outcome and deliverables, inakwamisha mambo.

Pengine niache swali kwa Mwl JPM na Mwl. Majaliwa (once a teacher always a teacher) kama njia/mkakati/mbuni sera, taratibu za serikali zinatukwamisha na kutuchelewesha, mnatupa mkakati gani sisi wanafunza Watanzania ili kuwaondoa maadui Umasikini na ukosefu wa ajira Tanzania. Wenzetu nyine mna muscles na machinery za ku-push the bounds, kuna haja ya kuwa na mfumo rasmi ya kutathmini na kuwapa mrejesho kwa mambo ambayo hayaendi kwa kasi mnayotaka.

Si mara zote tutawapata katika ziara. Fikiria ripoti ya utekelezaji wa maagizo ya Waziri Mkuu Musoma alito mwezi April, mpaka Sept baada ya Rais JPM kufika ndipo inaonekana “imechimbiwa” head office. Hiyo ni sampuli ya mambo kibao yaliyochimbiwa. Ukiona agizo wa Waziri Mkuu kwa jambo la maana “linapotezewa”, bila shaka yako mengi sana ambayo sisi waajiri wenu kwa kura zetu tunapigwa danadana na kuna nyakati sio rahisi kuweza “ku-shout” kama “mtu asieona” Bartimayo alietaka msada kwa mwana wa Daudi alikuwa anapita mitaa yake.

Kuna namna tulio huku nje tukiwa- facilitated, ripple effect yake itamgusa kila mmoja kwa namna moja au nyingine. Lengo kama ni kufika Dar toka Mwanza, na sera inataka utumie gari moshi kama namna ua kufika Dar, tunachukua saa zaidi ya 48 na hapo kama reli sio msimu wa mvua, kumbe tunaweza kutumia technolojia ambayo ni bombadier na kufika Dar ndani ya saa 2 na kufanya makubwa. Ni kweli ghara ma ya ndege ni kubwa ila inaongeza tija na ufanisi. Mfumo wa sera zingine iwapo "mvua imenyesha na madaraja yamekatika" inachelewesha lengo lakuondoa umasikini kwa kasi huku fursa za ajira kwa vijana zikipatikana na uwezekano wa tax base kwa TRA kuongezeka.

Asalam Aleykum
 
Baada ya kuandika hiyo hadithi yako ndefu, na Kwa sababu Tz ni sehemu ya Afrika , basi hatuna haja ya kuzaliana, Bali tuwatake wakenye, waganda, wanyarwanda au war undo , , au wa Congo , waethopia, wapopo waje na kujaza upungufu wa watu tulionao au ambao tutahitaji huko Mbele ???
 
Using correlation and causation effects of the permutations in what you have tried to combine, probably you had a fantastic logit to present without logic
 
Alei na salaaam

Mkubwa, changamoto kubwa zilizoaanishwa kwenye ilani ya ccm, hazitotatuliwa kwa sababu nyingi lakini baadhi ni hizi:-

1. Elimu duni au isiyoendana na uhalisia wa mazingira yetu. Kwanza maana ya elimu, ukizitafakari tangu tulipoanza la kwanza hadi tulipofikia sasa, utagundua kuwa hakuna tulichofanya isipokuwa kupoteza muda mrefu tukijifunza kusoma, kuandika na kuhesabu basics za elimu[b/].

Tulio wengi na ambao leo hii wako mitaa wakisaka ajira, ni watu walisoma taaluma ambazo si rafiki kwa mazingira yetu. Mwisho wa siku, watu hutegemea kuajiriwa kwenye go institutions na mashirika.

Ukiangalia workforce iliyoko mtaani, asilimia kubwa hawana taaluma za kuwawezesha kujiajiri yaani ni wasomi wa vyuo vikuu ambao hakuna mjasiria mali anayetamani kuwaajiri au ni ni wale ambao hawana a wala be. Tatizo la ajira litaisha lini?

Kwa maoni yangu, ni vema elimu yetu iwe more practical kwa kuwajengea uwezo wa kufanya kazi za kujiajili, kuzalisha ajira na kutoa huduma bora zinazohitajika na watu wengi.

Tusikubali watu wengi kuwa na degree za vitu ambavyo havihitajiki mitaani bali watu wasome elimu ambazo ni practical, hapo tatizo la umaskini na ajira litakoma.

Amani, ulinzi, usalama na rushwa, ni vitu ambavyo hupatikana kwa kusimamia misingi ya haki kikamilifu. Usitegee hayo katika jamii ambayo haki ni bidhaa adimu. Amani yetu i mashakani
 
Mleta mada hujalitendea haki jina la Bill Gates umelitumia tu Ku draw attention kwenye andiko lako.ulichoandika sehemu kubwa vitu hewa hewa point za kuokoteza tu hapa Na pale.Lihadithi refu POINT kuzipata hadi umulike Na Torch.Kama kweli wewe mwalimu nawahurumia wanafunzi wako.Kama huna shule unayofundisha nawaombea dua wanafunzi Mwenyezi Mungu awanusuru wasije pata mwalimu kama wewe
 
mkuu mbona umetoka kwenye mada? Hujatoa maoni umeishia kukandia, na wewe leta takwimu zako ili upinge hizi!
 
Siku mbili zilizopita Tajiri namba 2 duniani na mwanzilishi wa Kampuni ya program za compuer Bill Gates ametoa taarifa kuwa Afrika ina zaidi ya asilimia 60 wa wakazi wake ambao ni chini ya miaka 25.
Caribean na Latin Amerika watu chini ya miaka 25 ni 42…
Kwa lugha rahisi kabisa kila watu 10 Afrika, 6 umri wao ni miaka 25 kushuka chini.

Either Bill Gates kupita ukurasa wake wa tweeter katabainisha kuwa Afrika ni bara lenye wakazi wenye uwezo na fursa kibao. Kwa kuwa sijafanya tafiti na sitaki kugombana TBS, naomba niishie kusema Tanzania ni sehemu ya Afrika, bila shaka utafiti wa Bill Gates hautakuwa mbali sana na uhalisia ulipo hata nyumbani hali kadhalika nchi zingine.

Naomba kutafakari kazi ya kwanza ya kushika chaki ya Mhe. Rais JPM ambae aliwahi kuwa mwl. wa hesabu/hisabati. Yeye akiwa anashika chaki atakubaliana ili kumfanya mwanafunzi wake aelewe somo kuna njia (methodology), mikakati (strategy) na mbinu (technique/tactic) kadhaa ili mada ieleweke na watu wapata maarifa. Kuna mada moja inatumika njia na mkakati “X”, kuna mada unatumia mkakati “Y” kuna mada unatumia “XZ” na kuna zingine unaweza kualika “guest speaker” kuokoa jahazi. Lengo wanafunzi wapate “maujanja” ya kukokotoa hesabu/hisabati. Kwa ufupi kukokotoa ni ujuzi wa tunaojengewa kutatua matatizo yetu kwa njia nyingi, mikakati mingi na mbinu nyingi kadri iwezakanavyo.

Pili nitakari kazi ya Mwl. Majaliwa akishika chaki mara baada ya kuhitimu Mtwara Chuo cha Ualimu. Badae, Mwl. Majaliwa akapata mafunzo ya Elimu ya Michezo Chuo cha Ualimu Butimba na baadae kusoma Chuo Kukuu Dar es Salaam

Mwl. Majaliwa ana ujuzi wa kufundisha masomo ya darasani kama mwl. na kama mkufuzi (mwalimu wa walimu). Baadae akaenda mbali kwa kubobea kwenye “physical education” na hivyo kuwa kocha mtaalamu wa michezo mbalimbali.

Inafahamika kuwa Mhe. Majaliwa ni kocha wa mpira wa miguu na mpaka anaingia bungeni mara ya kwanza 2010-15 alikuwa kocha wa tumu ya wabunge.

Kocha Kasim Majaliwa atakubalina nami ili kushinda mchezo, mikakati na mbinu zinahusika sana. Formation moja ikigoma lazima kubadili formation ikiwezekana hata wachezaji ili kupata ushindi huku timu ikijilinda kutoruhusu goli.

Baada ya tafakiri hiyo naomba kunukuu Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015…

“Katika miaka mitano ijayo (2015-2020), CCM ikiwa madarakani, itazielekeza Serikali

zake kutumia nguvu zake zote kuendelea kupambana na changamoto kubwa nne:-

Kwanza kuondoa umaskini;

pili kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira hasa kwa vijana;

tatu kuendeleza vita dhidi ya adui rushwa na ubadhirifu wa mali ya umma; na

nne kuendelea kudumisha amani, ulinzi na usalama wa maisha ya wananchi na mali zao.

Naomba nijikite kwenye kuwa sehemu ya utatuzi wa changamoto mbili za kuondoa umasikini na kupunguza ukosefu ajira kwa vijana, naomba nitafakari machache kwa sauti huku nikiirudia ripoti ya Bill Gates ya kuwa Afrika tuna vijana wengi ambao ni nguvu kazi na fursa kwa kuwatumia kuzalisha, ni fursa ya soko ya bidhaa na huduma tokana na uwekezaji uwe wan je au ndani ya nchi.

Ilani ya CCM ambayo ndiyo imeweka seriklai iliyoko madarakani imejielekeza kutumia nguvu zake zote kuendelea kupambana na changamoto ya kuondoa umaskini; na kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana.

Sifa kwenu na nawapongeza sana Rais JPM na Waziri Mkuu Majaliwa ninyi mkisimamia mambo huwa mnayasukuma with all it take, kuhakikisha mnachokitaka kinafanyika.

Ila ukishuka huku chini kwa watendaji ambao ni key katika kupambana kuondoa umasikini kwa mifumo rasmi ya kufungua viwanda au biashara kwa lengo la kutengeneza faida na ajira, kasi ya watendaji huku chini inachelewesha mambo kwa jina la “sera” haisemi hivyo au si “utaratibu wa serikali”. Wanaosema hivyo wapo kwenye viti vya kuzunguka na huoni kama wanafikiri nje ya “box” la sera/taratibu/kanuni na mazoea.

Kwa namna hii tunajichelewesha kama timu ya ushindi. Ikumbukwe, mafanikio ya biashara/kiwanda chochote, kwenye kila mauzo 18% ni VAT inaingia serikalini. Faida ikipatikana mwisho wa mwaka 30% inakatwa kama corporate tax. Achilia mbali bishara itanunua huduma kama umeme, maji, bima, michango ya mifuko ya kijamii, CSR n.k.

Watendaji wa halmshauri kwenye madawati ya biashara, BRELA na maafisa wa TRA wanaokadiria kodi, maafisa ardhi, NEMC je wanajituma kwa ile dhana ya “kutumia nguvu zake zote”.

Majibu ya sera/taratibu na kanununi za serikali haisemi hivyo iko sawa kabisa kwa wanaoyatoa. Ila athari yake inachelewesha mwendo na kasi ya kufanikisha mambo. Sio muumuni wa kukiuka sera na kanuni ambazo zinatuingiza chaka na kuleta hasara. Ila kanuni na sera ambazo hazina positive outcome and deliverables, inakwamisha mambo.

Pengine niache swali kwa Mwl JPM na Mwl. Majaliwa (once a teacher always a teacher) kama njia/mkakati/mbuni sera, taratibu za serikali zinatukwamisha na kutuchelewesha, mnatupa mkakati gani sisi wanafunza Watanzania ili kuwaondoa maadui Umasikini na ukosefu wa ajira Tanzania. Wenzetu nyine mna muscles na machinery za ku-push the bounds, kuna haja ya kuwa na mfumo rasmi ya kutathmini na kuwapa mrejesho kwa mambo ambayo hayaendi kwa kasi mnayotaka.

Si mara zote tutawapata katika ziara. Fikiria ripoti ya utekelezaji wa maagizo ya Waziri Mkuu Musoma alito mwezi April, mpaka Sept baada ya Rais JPM kufika ndipo inaonekana “imechimbiwa” head office. Hiyo ni sampuli ya mambo kibao yaliyochimbiwa. Ukiona agizo wa Waziri Mkuu kwa jambo la maana “linapotezewa”, bila shaka yako mengi sana ambayo sisi waajiri wenu kwa kura zetu tunapigwa danadana na kuna nyakati sio rahisi kuweza “ku-shout” kama “mtu asieona” Bartimayo alietaka msada kwa mwana wa Daudi alikuwa anapita mitaa yake.

Kuna namna tulio huku nje tukiwa- facilitated, ripple effect yake itamgusa kila mmoja kwa namna moja au nyingine. Lengo kama ni kufika Dar toka Mwanza, na sera inataka utumie gari moshi kama namna ua kufika Dar, tunachukua saa zaidi ya 48 na hapo kama reli sio msimu wa mvua, kumbe tunaweza kutumia technolojia ambayo ni bombadier na kufika Dar ndani ya saa 2 na kufanya makubwa. Ni kweli ghara ma ya ndege ni kubwa ila inaongeza tija na ufanisi. Mfumo wa sera zingine iwapo "mvua imenyesha na madaraja yamekatika" inachelewesha lengo lakuondoa umasikini kwa kasi huku fursa za ajira kwa vijana zikipatikana na uwezekano wa tax base kwa TRA kuongezeka.

Asalam Aleykum
Natamani huu ujumbe mzuri uwafikie hao Walimu wawili
 
Alei na salaaam

Mkubwa, changamoto kubwa zilizoaanishwa kwenye ilani ya ccm, hazitotatuliwa kwa sababu nyingi lakini baadhi ni hizi:-

1. Elimu duni au isiyoendana na uhalisia wa mazingira yetu. Kwanza maana ya elimu, ukizitafakari tangu tulipoanza la kwanza hadi tulipofikia sasa, utagundua kuwa hakuna tulichofanya isipokuwa kupoteza muda mrefu tukijifunza kusoma, kuandika na kuhesabu basics za elimu[b/].

Tulio wengi na ambao leo hii wako mitaa wakisaka ajira, ni watu walisoma taaluma ambazo si rafiki kwa mazingira yetu. Mwisho wa siku, watu hutegemea kuajiriwa kwenye go institutions na mashirika.

Ukiangalia workforce iliyoko mtaani, asilimia kubwa hawana taaluma za kuwawezesha kujiajiri yaani ni wasomi wa vyuo vikuu ambao hakuna mjasiria mali anayetamani kuwaajiri au ni ni wale ambao hawana a wala be. Tatizo la ajira litaisha lini?

Kwa maoni yangu, ni vema elimu yetu iwe more practical kwa kuwajengea uwezo wa kufanya kazi za kujiajili, kuzalisha ajira na kutoa huduma bora zinazohitajika na watu wengi.

Tusikubali watu wengi kuwa na degree za vitu ambavyo havihitajiki mitaani bali watu wasome elimu ambazo ni practical, hapo tatizo la umaskini na ajira litakoma.

Amani, ulinzi, usalama na rushwa, ni vitu ambavyo hupatikana kwa kusimamia misingi ya haki kikamilifu. Usitegee hayo katika jamii ambayo haki ni bidhaa adimu. Amani yetu i mashakani

Boss,
si kila mtu anaetoka chuo kikuu au chuo cha kati ana uwezo wa kujiajiri. Inategemea amesoma nini na taaluma yake na ujuzi alionao unamwezeshaje kuingia sokoni.

Watu waliomaliza vyuo kuna nafasi wakapata on-job training kama kazi zipo. Kuna watoto wa "wanene" hapa nchini baadhi yao waliajiriwa BOT kwa vyeti vya kidato cha nne yet waliweza kumudu majukumu yao.

Cha msingi serikali katika muktadha wa PPP ishirkiane na Watazania wenye akili ya kutengeneza ajira. Incentives zikitolewa zinajenga mazingira ya biashara kuzaliwa ambazo zitatoa ajira na kuzalisha hali kadhalika kuongeza tax base
 
kuna haja ya kuwa na mfumo rasmi ya kutathmini na kuwapa mrejesho kwa mambo ambayo hayaendi kwa kasi mnayotaka.
Nitashangaa sana kama serikali haina utaratibu 'rasmi' wa kutathmini na kutoa mrejesho katika mambo yote inayopanga kuyafanya.
 
Kumbe kwenye ilani ya hao jamaa kuna 'kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana....'!
Haya vijana hoyeeeeeeeeee!!!!
 
Alei na salaaam

Mkubwa, changamoto kubwa zilizoaanishwa kwenye ilani ya ccm, hazitotatuliwa kwa sababu nyingi lakini baadhi ni hizi:-

1. Elimu duni au isiyoendana na uhalisia wa mazingira yetu. Kwanza maana ya elimu, ukizitafakari tangu tulipoanza la kwanza hadi tulipofikia sasa, utagundua kuwa hakuna tulichofanya isipokuwa kupoteza muda mrefu tukijifunza kusoma, kuandika na kuhesabu basics za elimu[b/].

Tulio wengi na ambao leo hii wako mitaa wakisaka ajira, ni watu walisoma taaluma ambazo si rafiki kwa mazingira yetu. Mwisho wa siku, watu hutegemea kuajiriwa kwenye go institutions na mashirika.

Ukiangalia workforce iliyoko mtaani, asilimia kubwa hawana taaluma za kuwawezesha kujiajiri yaani ni wasomi wa vyuo vikuu ambao hakuna mjasiria mali anayetamani kuwaajiri au ni ni wale ambao hawana a wala be. Tatizo la ajira litaisha lini?

Ili tatizo liishe there should be a team playing spirit with common goal to win the match against the challenges...

Kwa wale mnaokumbuka mjadala wa Mlimani city ilijengwa kwa vision mtu mwenye mtaji wa hela ndogo sana mfukoni. Ila huyo jamaa alikuwa na “brain” ya kutengeneza mradi mkubwa amba ripple effect yake imefanya shughuli za kibiashara Mwenge/Mlimani kuwa kubwa sana.

Watanzania wapo ambao wanaweza kufanya vitu kama hivyo au zaidi ya hivyo. Kwa kutumia linear equation ya Sera na Taratibu zetu huenda jambo kama hilo haliwezi kufanyika.

Nachokoza mada ili tufikiri kwa pamoja ili kutatua matatizo ya umasikini na ajira ambazo vijana ndiyo wengi wanaweza kuwa wafaidika au wanapigika kwa kukosekana fursa za wao kufanya kazi.

When a local investor win, fedha yake ina chance kubwa sana ya kuzunguka ndani humu...unlike "wajomba toka ughaibuni"
 
Nitashangaa sana kama serikali haina utaratibu 'rasmi' wa kutathmini na kutoa mrejesho katika mambo yote inayopanga kuyafanya.
Serikali kama taasisi bila shaka ina mfumo wa kupata mrejesho tokana na tathmini. Kauli ya JPM ripoti ya kamanda wa TAKUKURU Mara "kuchimbiwa" makao makuu, ni kiashiria feedback mechanism sio nzuri au ni basi tu jamaa wanaamua "kuchimbia"
 
Lakini mtoa mada lazima ukubali kuwa huwezi kugeuza tabia za watu kwa usiku mmoja. It will take time kwa watendaji wote wa serikali na sisi wananchi kubadilika na kufanya kazi kwa ufanisi kama ulivyotowa mfano wa mkoa wa Mara. Mwongozo wa ilani ya chama upo lakini sio kitu kinachoweza kupatikana kwa haraka kama vile vijana wengi wanavyotarajia. Elimu, umasikini, rushwa nk, vinaweza kuchukuwa hadi miaka 20 au 30 kukamilika. Cha muhimu ni kujuwa hii njia tunayopita itatufikisha kule tunakotaka kwenda na sio kule tusikotaka kwenda.
 
Back
Top Bottom