Martin Munisi mwenyekiti UVCCM Arusha ametangaza kumvaa Mbowe jimbo la Hai nipo mkutano hapa Arusha
maneno hayo angeyasemea akiwa hai angezomewa hata na wana ccm wenzakeMartin Munisi mwenyekiti UVCCM Arusha ametangaza kumvaa Mbowe jimbo la Hai nipo mkutano hapa Arusha
Watu wengine kwa kujitekenya na kujichekesha hawajambo!!!http://www.goodreads.com/author/show/4491185.Steve_MaraboliPale hata munisi hana haja ya kutumia nguvu kubwa. Wananchi wameshaujua ulaghai wa mbowe. Na hakuna alichokifanya cha maana jimboni kwake toka apewe ridhaa.
Labda kama atamvaa kwa kuwa wakala wa kuhesabu kura!
Pale hata munisi hana haja ya kutumia nguvu kubwa. Wananchi wameshaujua ulaghai wa mbowe. Na hakuna alichokifanya cha maana jimboni kwake toka apewe ridhaa.
Ana haki ya kidemocrasia
Maskini ya mungu unatia huruma kweli. Kumbe ban inauma asee!!!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ban ya kivipi mkuu mbona out of pointMaskini ya mungu unatia huruma kweli. Kumbe ban inauma asee!!!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
dah!kumbe ccm napo wachagga wapo?????....tena uvccm arusha???Pale hata munisi hana haja ya kutumia nguvu kubwa. Wananchi wameshaujua ulaghai wa mbowe. Na hakuna alichokifanya cha maana jimboni kwake toka apewe ridhaa.