Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
Jamaa aliiba simu na katika kukimbia alionekana na alipoona mambo yanakua magumu akaimeza simu na ile anamaliza tu akashikwa,Watu wakawa wanajiuliza kapeleka wapi na mara ghafla Jamaa akatoa hewa chafu na kila akitoa hewa chafu ni msg zinakua deliverd,akikohoa ni missed call....