Mwizi Wa kura amekamawa

Mwizi Wa kura amekamawa

Joined
Oct 19, 2016
Posts
86
Reaction score
35
IEBC ina hakiki kama kweli matokeo yaliyotangazwa na wao ni sahihi kwa kupitia form ya matokea ya kura kama yamedukuliwa pindi wanapokea matokeo kupitia mtandaoni?hii imetokana baada ya Bwana Rails kusema kuwa matokeo yanayotangazwa so ya kweli!source DW habari ya jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kama walivyokuwa anafanya Mikatale? Au umesahau!. Walitangaza matokeo fake, vitisho na kila aina ya uharamia. SAsa rafiki yao kaonja joto ya jiwe. Sina hakika kama watapongeza ushndi ambao ni photocopy ya walichokifanya au watamliwaza rafiki yao kwamba kweli kaonewa. Hii ni hesabu ya cross multiplication.
 
ni vigumu mno kuitoa serikali madarakani kwa kura labda kwa hiari ya rais
 
The Final Tally: Raila 8.1m votes against Uhuru's 7.2 m votes. The opposite is a fraud. Truly speaking the IEBC server was hacked using the details obtained from the slain former IEBC's ICT Manager Mr.Chris Msando.

And when the hackers forgot to log out, the system could not submit results and the IEBC resolved to receive the results via sms, the results that are the subject of controversy now.

Under the massive pressure from the opposition Nasa alliance, the IEBC has succumbed to pressure and has agreed to review all the results submitted by their agents through the 34A forms sent from 40,883 polling centres scattered throughout the country.

The IEBC, who have declared the current results as provisional, will now tally the results using the 34A forms before declaring the final presidential result notably in a weeks time.
 
Not true, final count not yet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom