Mwizi wa kike akirekodiwa anapigwa ni udhalilishaji wa kijinsia, ila wa kiume husikii kelele kutoka kwa NGO's

Wanaume wanalilia tumboni ndo maana wanawahi kufa mapema kuliko wanawake.
Mwanamke akishapata watoto na mali mwanaume ni takataka tu asipoanza chokochoko,atakuwekea sumu ufe polepole.
Mungu wangu, kumbe zipo mpaka sumu za hivyo?
 
Wanaume wanalilia tumboni ndo maana wanawahi kufa mapema kuliko wanawake.
Mwanamke akishapata watoto na mali mwanaume ni takataka tu asipoanza chokochoko,atakuwekea sumu ufe polepole.
Moyo wangu hapo umeshtuka sana. Kumbe kule kunyenyekea kabla ya kupata watoto pamoja na mali, huwa ni unafiki eeh? Rangi halisi utaziona ukipata mali na watoto wakikua?
 
Inahitajika taasis/idara rasmi ya ku-monitor hii 50/50 ili tuwe tunajua tupo ngapi kwa ngapi la sivyo tutajikuta tupo 30/70 halafu wanaume tunaanza tena kudai 50/50.😁.

BTW:Mtandao uliopo ni Twitter huyo Tweeter ni mtu anaye-tweet huko Twitter.
 
Juzi kati kuna clip ilisambaa sana mitandaoni, mimi si mtumiaji sana wa mitandao mingine ukitoa JF na tweeter. Nilibahatika kuperuzi Facebook kupitia simu ya mke wangu, nikakuta clip ya jamaa(tapeli) akipigwa mno.

Waliokuwa wanampiga ni mke na wanaume baadhi, nafikiri walim track na kumuita aende. Jamaa anaweka mikono usoni ila mwanamke anamtukana matusi ya nguoni(kiungo cha kutolea mtoto), huku wengine wanampiga mikanda.

Nilishawahi kuona clip moja kama hii, ila ilikuwa ya mwizi wa kike(si tapeli), hakupigwa ila alirekodiwa tu akihojiwa kwa nini aliiba. Duuh! Week moja mbele vyombo vya sheria na NGO's zilipiga mno kelele kuwa yule Ustaadh aliyemkamata na kurekodi, afungwe.

Nilijifunza kitu kikubwa mno, hatupo sehemu salama. Kila siku mwanaume anazidi kukandamizwa sana, na sadly baadhi ya wanaume wanaungana na akina mama kuwakandamiza wenzao, na wanafurahia hili.

Huzuni mno!!
Feminist ni wapumbavu sana
 
Back
Top Bottom