..... wakamwonyesha shimo la choo walilochimba siku hiyo kisha wakamwambia, chumba hicho hapo, ingia ulale sisi tutakufunika usipigwe na baridi. Akawa anasita, wakamsukumia ndani na kazi ya kumfunika kwa udongo ikaanza, baada ya hapo hakupigwa tena na baridi wala hakuwahi kunyeshewa na mvua.. Rip..... Lol