Mwizi anapokuwa mwanamke! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwizi anapokuwa mwanamke!

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Sep 29, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Huko kwa mzee Kibaki mwizi mzoefu , mwanamke kakamatwa na Polisi jamii.
  Hebu fikiria mtoto mzuri huyu kaiba nini?
   
 2. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  nyangá u wote wako ivoivo mzee. si cha mwanamke wala mwanaume, kwao chapaa kwanza ustarabu badae.
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hata TZ hii kitu ipo kwa sasa. Wanawake ni wezi sana hasa katika public places, mikutanoni, sokoni, super markets, masoko ya mitumba, maonesho mbalimbali, n.k. wanakuwa wamevalia baibui/kininja!!
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  huyo atakuwa mwizi wa magari, ama muuza madawa ya kulevya. wanawake wa kenya kwa kweli wamejitahidi. hawachagui kazi
   
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  hajaiba, amefumaniwa
   
 6. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Kufumaniwa nako ni wizi, tena mbaya sana.
  Wizi wa huduma usiyostahili.
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Nashangaa wanaoshangaa mwanamke kukamatwa sababu ya wizi,hivi dunia hii kwa sasa ina kiumbe mwizi kumzidi mwanamke.Tatizo mnaoibiwa huwa wala hamuhisi kuwa mnaibiwa.Ila kwa sisi tunawaita MAJAMBAZI WA HIARI,hakukabi wala kukushikia bunduki unatoa mwenyewe kwa hiyari yako..
   
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nani alisema ushenzi unachagua jinsia.
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Mashallah...sio mchezo. Wizi kajifunzia wapi?
   
 10. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Wizi ni broad term - yaweza kuwa mchezesha upatu, ni yule ambaye anavutia matajiri kwenye 'mdomo wa majambazi', na kadhalika!
   
 11. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Polisi jamii, yani mimi ntajiunga karibuni, watu wanaibiwa sana!
  Hasa wenza wao!
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  mkuu.@masopakyindi Na Mwizi anapokuwa ni mwanamme Je hii ni halali hukumu yake?

  [​IMG]
   
 13. Mselema

  Mselema Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 23, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo atakuwa alikuwa kwenye migogoro ya mashamba ya huku Kiambuu sio mwizi
   
Loading...