Mwizi anapigika Kariakoo muda huu

Mwizi anapigika Kariakoo muda huu

habari za leo wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni kwamba mwizi anapigika hapa maeneo ya k/koo mtaa wa kongo sijajua ameiba nini kiukweli raia wana hasira sana
wanaweza hata kumuua jamaa
[HASHTAG]#yungtEmPeR[/HASHTAG]
Habari za wizi hapa MMU zinafuata nini?.
 
habari za leo wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni kwamba mwizi anapigika hapa maeneo ya k/koo mtaa wa kongo sijajua ameiba nini kiukweli raia wana hasira sana
wanaweza hata kumuua jamaa
[HASHTAG]#yungtEmPeR[/HASHTAG]
Kama ni mtaa wa kongo huyo atakuwa aliiba cm
 
habari za leo wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni kwamba mwizi anapigika hapa maeneo ya k/koo mtaa wa kongo sijajua ameiba nini kiukweli raia wana hasira sana
wanaweza hata kumuua jamaa
[HASHTAG]#yungtEmPeR[/HASHTAG]
Itakuwa ndio kile kipigo cha mbwa koko bila shaka
 
habari za leo wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni kwamba mwizi anapigika hapa maeneo ya k/koo mtaa wa kongo sijajua ameiba nini kiukweli raia wana hasira sana
wanaweza hata kumuua jamaa
[HASHTAG]#yungtEmPeR[/HASHTAG]
Za mwizi ni 39....... Ikifika ya 40 andaeni matanga
 
Back
Top Bottom