mbona ni 26 vs 21 ie mawazili na manaibu respectively
haya jamani, tufanyeni uchambuzi. Kikiwete aliahidi baraza la wachapa kazi na waadilifu. Je, mnawaona hao kwenye listi hii?
waziri wa fya amekosewa jina lake ni dr. Hajj hussein mponda siyo mpanda
In total wazili na manaibu ni 47 unless kama unamuiclude JK,MAKAMU NA PM
Mbona JK kaacha visiki hivi vya mpingo???Hasa Mwakyusa yule aliekua wizara ya afya
Nawe umekosea si Hajj bali ni Hadji Hussein Mponda
Mbona JK kaacha visiki hivi vya mpingo???Hasa Mwakyusa yule aliekua wizara ya afya
Dah!! Yaani kila nikisoma comments zako huwa nagundua umuhimu wa shule. Pole sana kaka, kama baba wawa mvivu wa kufikiri hivyo basi nawapa pole sana wanao.Yataka muda ili kufanya kazi yenye umakini na kuepuka kukurupuka kama wafanyavyo viongozi wa chama kikuu cha upinzani.