Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,986
- 2,373
Pasco wewe ni GT wa aina yake, nakushauri maandiko yako yote humu uyaweke kwenye kitabu kisha runnier.Mkuu, Tol, kwanza naunga mkono hoja, niliwahi kuzungumza humu kuwa kiukweli kabisa, sisi Tanzania, tunao baadhi ya viongozi ambao ni vichaa kabisa ila hatuwatambui kutokana na ukimya wao au utulivu wao kwa sababu kuwa kichaa sio mpaka mtu aokote makopo!. Lakini wanapoanza kupayuka kwa kauli za ajabu ajabu na matendo yao ndipo utabaini kuwa fulani sii mzima!.
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
Ila natofautiana na wewe, mtu wa aina hii hahitaji kulaaniwa bali anahitaji kuombewa apone, hili nililishauri hapa
Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?
P.
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
nadhani waitara mwita atakuwa kachanganyikiwa anahitaji kutibiwa MilembeKama Waitara anajiona amefika kwa Mungu ya shetani anayatakia nini,kwanini asiwaachie wenye shetani na shetani wao?.
Mkuu, Tol, kwanza naunga mkono hoja, niliwahi kuzungumza humu kuwa kiukweli kabisa, sisi Tanzania, tunao baadhi ya viongozi ambao ni vichaa kabisa ila hatuwatambui kutokana na ukimya wao au utulivu wao kwa sababu kuwa kichaa sio mpaka mtu aokote makopo!. Lakini wanapoanza kupayuka kwa kauli za ajabu ajabu na matendo yao ndipo utabaini kuwa fulani sii mzima!.
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
Ila natofautiana na wewe, mtu wa aina hii hahitaji kulaaniwa bali anahitaji kuombewa apone, hili nililishauri hapa
Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?
P.
Ko na wewe hadi hili unahitaji ujibiwe? Kuwa kulikua na washambuliaj zaid ya mmojaMagazini ya risasi 38 ni ipi hiyo?!..kuna maswali mengi kwenye shambulio hilo.
Swali liko palepale target ni 'moja' kwanini mtu abebe risasi 62?!!za nini?!Ko na wewe hadi hili unahitaji ujibiwe? Kuwa kulikua na washambuliaj zaid ya mmoja
mwita waitara inaelekea anawadharau watanzania kwa kiasi cha kutisha kwani kitendo cha kujaribu kutengeneza Uzushi wa kishamba na kijinga kisha akataka watanzania wauamini ni dharau kubwa, njaa zake abaki nazo peke yake aacha watanzania wahangaike na shida zingine.Huyu Mwita Waitara alijuaje kuwa risasi zilitokea kushoto?
Ana sura ya ulevi ulevi flani
Hawakutumia bastola,,,ni bunduki kubwa ,,SMG ama AKA 47.. Ambazo magazine capacity ni 30 bullets. Logic ndogo tu,,,huwez beba Risas 3 kisa unaenda kuua MTU mmoja,,,kuna kummiss target,, au kupata Ukinzani ,,ukashambuliwa kabla hujashambuliwaSwali liko palepale target ni moja kwanini mtu abebe risasi 62?!!za nini?!
Leo hutaona madhara, athari yake utaiona miaka kadhaa ijayo inawezekana kabla au baada ya awamu hii kutoka madarakani.Kwa nini Waitara anawauma sana?
haya maneno ni fala pekee tena yule mjinga wa kijijini ndani ndani anaweza kukaa akayaamini, lakini binadamu mwenye Akili Timamu hata aliyekutuma Uyaandike mwenyewe hayaamini hayo maneno yenu.Unaamini kabisa Tundu Lisu alipigwa risasi zaidi ya 30? Hizo risasi zilipiga sehemu gani ya mwili? I mean huo mguu ndo uliochukuwa risasi 30??
Huu ulikuwa mpango wa kuichafua Serikali yetu ambao ulifanywa na chadema wenyewe pmj na Tundu Lisu sasa kuna mahali walikosea stepu mambo ya karma labda, na waliochoma moto ofisi za immma ndo hao hao na walikuwa na lengo hilo hilo!
Hata waliomficha Ben Saanane ndo hao hao chadema kwani kama ni kweli amepotea iweje wawe kimya kiasi hicho? Hata tu Wazazi wake Saanane kimya hakuna chochote, mtu anaweza tu kupotea asionekane halafu wakae kimya?
haya maneno ni fala pekee tena yule mjinga wa kijijini ndani ndani anaweza kukaa akayaamini, lakini binadamu mwenye Akili Timamu hata aliyekutuma Uyaandike mwenyewe hayaamini hayo maneno yenu.
Ndugu mimi hiyo bunduki nimeisoma vyema jeshini, umbali ule ingeshaharibu kila kitu. Kwanza risasi kukutwa mwilini ni kitendawiliHilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi.