mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,704
Wadau mmemsikia mwita waitara ? Kweli leo yeye ndio wa kusema bendera ya chadema ni uchafu? Hata walioanzisha ccm hawajawai kutamka neno hilo ila mimi hata kama atapewa huo ubunge nitapeperusha bendera ya Chadema hana uwezo wa kunizuia.