Mwita Waitara hata ukipewa huo ubunge nitapeperusha bendera ya CHADEMA

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Wadau mmemsikia mwita waitara ? Kweli leo yeye ndio wa kusema bendera ya chadema ni uchafu? Hata walioanzisha ccm hawajawai kutamka neno hilo ila mimi hata kama atapewa huo ubunge nitapeperusha bendera ya Chadema hana uwezo wa kunizuia.
 
Kama alihama vhama ili aunge juhudi sasa ndio nimezielewa juhudi zinazoendaga kuungwa mkono... Hakikisha Chadema Inakufa... Ukiunga mkono juhudi hyo unapewa mpaka ulinzi, chunguzeni.
 
Back
Top Bottom