Mwita Waitara hata ukipewa huo ubunge nitapeperusha bendera ya chadema


M

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
580
Likes
478
Points
80
M

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
580 478 80
Wadau mmemsikia mwita waitara ? Kweli leo yeye ndio wa kusema bendera ya chadema ni uchafu? Hata walioanzisha ccm hawajawai kutamka neno hilo ila mimi hata kama atapewa huo ubunge nitapeperusha bendera ya Chadema hana uwezo wa kunizuia.
 
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,708
Likes
2,418
Points
280
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,708 2,418 280
haa haaa duh. kwake ccm kwa sasa ndo lulu eeh
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
29,063
Likes
75,295
Points
280
Age
18
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
29,063 75,295 280
Ngoja tusubiri muda wa kutangazwa
 
nkumbison

nkumbison

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Messages
661
Likes
576
Points
180
nkumbison

nkumbison

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2013
661 576 180
Kama alihama vhama ili aunge juhudi sasa ndio nimezielewa juhudi zinazoendaga kuungwa mkono... Hakikisha Chadema Inakufa... Ukiunga mkono juhudi hyo unapewa mpaka ulinzi, chunguzeni.
 

Forum statistics

Threads 1,236,784
Members 475,220
Posts 29,268,161