Nape, Makamba na Kitila wana rudi tena kwa kasi ya 5GSeven down more to go
Gwaj
Waitara
Mpina
Ubungo
Nape
Makamba
Mrisho
Aisee hivi viti vyote anazoa CHAUMMA
Kabisa.alafu katuma watu wafanye fujo ndiyo MJUE ccm ndiyo watekaji wauwaji na watesaji na tunapoelekea watauwana sana wenyewe kwa wenyeweNdio changamoto y kuwa Dalali w siasa ss kafika kwenye chama kikuu cha Udalali Tanganyika.
KAZI ni kipimo cha utu
Nape na Makamba!?Seven down more to go
Gwaj
Waitara
Mpina
Ubungo
Nape
Makamba
Mrisho
Aisee hivi viti vyote anazoa CHAUMMA
Hahahaaaa dah. Mzee anaumwa lakini bado ana misimamo yake. Wale ndiyo wapinzani wa kweliAlidanganywa akaisaliti chadema, sasa anaionja shubiri ya kwenda ccm.
Bwege anasema "Hatoboi".
Made in lake zoneHaya watatu huyu sasa.....
Gwaji
Mpina
Mwita...
Wataisha wote mmae
Ukibebwa unadhani uko entitled kwenye kila kitu, mbeleko limeanza kuchanika hataki kushuka kutembea ardhini.Hahahaaaa dah. Mzee anaumwa lakini bado ana misimamo yake. Wale ndiyo wapinzani wa kweli
Hahahaaaaa kabisa. Watamdondosha kwenye kula za maoni mjinga yule.Ukibebwa unadhani uko entitled kwenye kila kitu, mbeleko limeanza kuchanika hataki kushuka kutembea ardhini.
Toilet PEPA ishachambiwa now inanuka mavi ya Wana ccmTayari ccm hawana kazi nae tena huyu
😄 😄 bado silinde , molel na kima nyingineToilet PEPA ishachambiwa now inanuka mavi ya Wana ccm
Watatolewa wote😄 😄 bado silinde , molel na kima nyingine
Atafungua bar na awe mmiliki na kiongozi wa barMwita waitara namfahamu . Hawezi kuishi bila madaraka
Wakimuacha anweza kulia Toka Tarime mpaka Dar kwa mama A, na anavyopenda Kulia lia.Hahahaaaaa kabisa. Watamdondosha kwenye kula za maoni mjinga yule.
Sisi wa Bumbuli hatumtaki Makamba, Kama Kuna anaye mhitaji amchukue Bure.Nape na Makamba!?