Usiusingizie ulevi tafadhali ni vimacho vyake vya kinafiki haviusihani na pombeπ π π π π π π π tumacho tumekuwa tudogo sababu ya ulevi
Mshahara wa dhambi ni mautiView attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.
Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Hakika hii habar imenifurahisha sanaMshahara wa dhambi ni mauti
ππ³πView attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.
Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Mbali ya unafiki wake, hiyo sura imefura sababu ya utumiaji uliopitiliza wa pombe.Usiusingizie ulevi tafadhali ni vimacho vyake vya kinafiki haviusihani na pombe
Huna akili mleta madaView attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.
Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Lakini si amevuna mtaji akajiajiri. Hizo porojo za vijana wajiajiri vijana wajiajiri wao haziwahusu ?View attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.
Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
As long as I'm working on mortuary, no man will be buried uncircumcised.π π π π π π π π tumacho tumekuwa tudogo sababu ya ulevi
Aisee duh kwann lakini alipiga sana tungi hivyo??,Mbali ya unafiki wake, hiyo sura imefura sababu ya utumiaji uliopitiliza wa pombe.
Nenda Moshi Bar Ukonga ukaulizie, alikuwa analewa mpaka kujikojolea. Huyo kunywa mpaka kuzima ni kawaida.
Kwakuwa???Huna akili mleta mada
Tungi km tungi naona breweries zinamwangalia kwa jicho la kutangaza kimea kipya, hivi yule liquid aliishia wapi chapombe?Mbali ya unafiki wake, hiyo sura imefura sababu ya utumiaji uliopitiliza wa pombe.