Nimeziona hotuba zote mbili zikiwa zimeandikwa.Tatizo lenu ushahidi ukiletwa mnakimbiaNape anadhani tuko enzi za kusoma PGM chuo cha ualimu,sio sasa utadanganya tena watanzania kwa maneno.
Amesahau teknolojia imekua.amesahau kuwa unaweza kurekodi sauti kwa simu ya kiganjani na video ya tukio zima.
Lakini kwa vile nape yupo kianalojia wenzao chadema wapo kidigitali zaidi.
Mwanadiwani na wengineo kwa vile mkuu wao wa lumumba kaongea hata liwe baya watamuunga mkono.
Ugonjwa mbaya kuliko wote duniani ni ugonjwa wa kutojitambua
Kanusheni basi hajasema wanaopinga serikali mbili hawana akili timamu.
Nape mdogo wangu tulia kajifunze siasa za kistaarabu kwa wenzio unaposafiri..achana na siasa za kiswahili swahili
Ushauri wa bure..
Kwa vile unaongea bila nukta jaribu kuandika hotuba zako.
Dogo hata sie wabeba mabox tunajua Nape anawapasua kichwa sana Magwanda hanchelewi kum Denis Msaki. Anasababu gani ya kuja na PenId kama wewe wakati huwa anakujankwanjinanlake kama alivyofanya hapa? Kama kidume njoo kwa jina lako kwanini unajificha!
Mods, kama kweli tuna hakikishiwa kuwa JF sio mahali pa mtu kuleta uongo wake na kuendelea kudunda tu humu jukwaani, ningependa huyu mtu anaeitwa Ben Saanane awajibishwa kwa kuleta taarifa ya uongo humu jamvini.
cc: Paw, Buchanan, Moderator
We unahakika gani kasema?Una uhakika kwamba Nape hakusema hivyo na ni kipi kinachokuamisha kuwa Nape hakutamka yale yaliyohusu kukashifu wazee?
Bila kutumia uongo na ahadi za kitapeli Chadema hawawei kupata watejaBavicha ni janga la Taifa. Kwao uwongo ndiyo nguzo katika harakati zao za kuudanganya umma.
Bila kutumia uongo na ahadi za kitapeli Chadema hawawei kupata wateja
Umejitahidi kuweka link vizuri lakin naskia makelele tu hakuna kinachosikika....
video ya kutengeneza.....tume stuka pole weee.
Bila kutumia uongo na ahadi za kitapeli Chadema hawawei kupata wateja
Haha, hii video aliyoleta Nape nimeipata pia kwa W. J. Malecela. Nikaishia kucheka tu, bila hata ya kujibu kitu. Naona na Nape naye kaingia kwenye mtego huo huo. Bila shaka Wiliam ndiye aliyekupa hii video uiweke.Bavicha ni janga la Taifa. Kwao uwongo ndiyo nguzo katika harakati zao za kuudanganya umma.
Ni kweli ni mzalendo kwa uongo wake kama huo aliomzushia Nape hapa kisha akakimbia.
Prove kwamba ni ya kutengeneza sio blabla tu hapaNdugu yangu hiyo video niya kutengeneza , wadanganyeni wajinga.
Umefikia wapi kuhusu hii ahadi?Ndo zenu mkikosa hoja huwa mnadandia uongo wa hovyo. Mmeambiwa hapo Mwisho wa uongo aibu! Boss wenu kaumbuka kwa kutengeneza uongo! Chutameni! Shame on you!
Kwa hakika sasa si siri tena siku za gamba kubwa CCM Edward Ngoyaye Lowassa a.k.a Fisadi wa Richmonduli ndani ya CCM zinahesabika.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kifikia tar 12/02/2013 Kamati Kuu ya CCM itakuwa imeundwa na baada ya kupata pigo kubwa kwa Makamu Mwenyekiti Mzee Mangula, Katibu Mkuu Kinana na Kurudishwa kwa adui yake mkubwa Nape basi pigo la mwisho kwa EL ni uundwaji wa CC ambao kwa vyanzo vya jikoni kabisa..hakuna mtu wake hata mmoja.
Ikumbukwe vikao vitatu vya mwanzo vya uchujaji majina ya urais ni Sekretarieti chini ya Kinana na Nape, Kamati ndogo ya Maadili chini ya Mangula na Kamati Kuu chini ya JK...na kote huku hakuna kupiga kura ni mjadala tu then maamuzi..
Haya niyasemayo yalimkuta Lowassa mwaka 1995 aliondolewa kwenye kinyang'anyiro bila kura, yalimkuta pia Malecela aliondolewa bila kufilishwa kwenye kura...historia itajirudia 2015.
Ushauri wa bure anzisha thread nyingine uzungumzie umbea wako, hapa tunamkoma nyani muongo usoni...Umefikia wapi kuhusu hii ahadi?
Umefikia wapi kuhusu hii ahadi?
Tuseme Nape Uliteleza Ulimi, haya sasa tuambie CCM mnafuata Itikadi Ipi kwa sasa baada ya ile ya siasa ya ujamaa na kujitegemea?...
Dah! Ghafla nimepanda toka kuitwa dogo mpaka kuwa "Mkuu!" Ndugu yetu huyu ana mambo kweli kweli. mara wengine awaite "Babu" mara "Dogo" vyeo vya utotoni na ukiwa na akili zinapwaya ni matatizo kweli kwenye jamii.Turudi sasa kwenye hoja mkuu...yapo wapi hayo maneno mnayodai Nape kasema?
Huyu kiumbe nape anaongelea nini,sijaelewa.