Mwisho wa Ubaya Aibu

Mwisho wa Ubaya Aibu

Biological father yupo na anahudumia mtoto wake
wanawake wengine ni kinyaa zaidi ya kinyesi chenyewe! Pole michael mzee wa mikasa, shit happens. Chukua mtoto atakama we sio biological father ila mchukue kisheria ikiwezekana kama umelea na dingi yake hamtaki tangia hapo ulishamkubali. Uyo farida atafute supermario au ben10 amfadhili.
 
Biological father yupo na anahudumia mtoto wake
Kwaiyo michael anapenda mteremko kamkuda mdada wa watu anastress akazama na zote. Mtoa mada, angalia michael asifanye yake kama ww ni jirani mwambie atafute amsini zake pia. Hii mikasa huwa sio kabisa hawa wadada huwa hawajielewi wengi wanajpenda mteremke na vya bure japo wachache sana wanapambana ila wakina farida type mmh hawafai. Ni mtazamo tu.
 
Wanawake bwana.. Aaagah... Ningekuwa na nyuklia ningeweza kuwalipua wote
 
Kwaiyo michael anapenda mteremko kamkuda mdada wa watu anastress akazama na zote. Mtoa mada, angalia michael asifanye yake kama ww ni jirani mwambie atafute amsini zake pia. Hii mikasa huwa sio kabisa hawa wadada huwa hawajielewi wengi wanajpenda mteremke na vya bure japo wachache sana wanapambana ila wakina farida type mmh hawafai. Ni mtazamo tu.
Hapana. Michael alidate na farida bila kujua Farida ni mjamzito na Farida akatukoa hiyo chance ili ale hela za Michael. Michael ni mwanaume mwema anaejua kuhudumia mwanae ila Farida alimbambikia mtoto. Ilibidi aende mpaka kwa baba halisi wa mtoto kuhakikisha kama kweli ndo baba halisi akapewa file kuwa na mtoto analetwaga kumsalimia bibi wakati anatoka kwa bibi mama Michael
 
Akina Farida wapo wengi sana bongo hii

Kuna jamaa yang alichanganyikiwa kwa mambo kama haya alipata mwanamke akazaa nae akawa anamhudumia kila kitu walikuwa hawakai pamoja jamaa alijitahidi sana siku anakuja kukuta mtoto anakadi za clinic 4 zote zna majina ya baba tofauti
kumbe yule dada alikuwa anahudumiwa na mababa 4 tofauti bila wenyew kujijua
 
Hapana. Michael alidate na farida bila kujua Farida ni mjamzito na Farida akatukoa hiyo chance ili ale hela za Michael. Michael ni mwanaume mwema anaejua kuhudumia mwanae ila Farida alimbambikia mtoto. Ilibidi aende mpaka kwa baba halisi wa mtoto kuhakikisha kama kweli ndo baba halisi akapewa file kuwa na mtoto analetwaga kumsalimia bibi wakati anatoka kwa bibi mama Michael
Makwenzi yote mtoto hajafanana hataaa, michael anatabu sana. Mwambie akasake mwengine samaki ni wengi ziwani
 
Back
Top Bottom