Mwisho wa Ubaya Aibu

Mwisho wa Ubaya Aibu

Makwenzi yote mtoto hajafanana hataaa, michael anatabu sana. Mwambie akasake mwengine samaki ni wengi ziwani
Michael hakutaka kuzaa na huyu mwanamke. Yeye alipita tu akaambiwa ana mimba akaamua kuilea
 
Hivi visa nikuomba Mungu tu dah sasaaa jamaaa ajifanye mjinga tu asee mtoto akianza kung'oa meno si achukue jino la mtoto na mama yake unachukua nywele zake na zako unapeleka huko hata kama ni msubiji au south pesa inafanya yote no matter how many years eventually the truth will come out. Kuna jamaa hivo hivo nasikia nae alikwa na mke na watoto wawili kawa lea na kuwapenda kama wake by the time wamefika chuo jamaa ndo anabumburuka kuwa wale sio wanae na mke akasema ukweli. Mm nadhani wakati mwengine twajitakia headache au? Yani naona yani mtu ukishaanza kuwa na mashaka( natural instincts) ile feeling kwamba jampbo fulani sio sawa jiongeze tu sio lazma useme kimya kimya tu do the research alafu vunga. Ila nyie wanawake mnajichafua sana kwa mwendo huu ndo maana hatuchoki kuwazingua yani mademu au wanawake wa Tz japo sio wote ila mnafeli sana mpaka bora kwenda maeneo kama viavia arusha , trinity dsm na kwengineko na kutembea na wazungu maana mzungu no si no mbongo anataka mkimbizana kwanza kama jogoo na mtetea alafu yes ni no na no ni yes hahahaha this shit is fucked up ahahaha
We naona huelewi. Nimekwambia mtoto sio wa Michael kabisa. Alisingiziwa mimba. Sababu mpaka anakutana na huyo dada alikua ana ujauzito wa miezi miwili tayari. Nimechoka bwana kukuelezea
 
Jitose tu mkuu unaweza kuta hata baba ako hana imani kama wewe ni mtoto wake ila mpaka leo yuko na mama ako
Haya mambo yanatufanya sisi tunaotarajia kuoa tuogope au tujiapize kuja kugeuka wanyama pale tutakapooa.
 
Kuna jamaa yang alichanganyikiwa kwa mambo kama haya alipata mwanamke akazaa nae akawa anamhudumia kila kitu walikuwa hawakai pamoja jamaa alijitahidi sana siku anakuja kukuta mtoto anakadi za clinic 4 zote zna majina ya baba tofauti
kumbe yule dada alikuwa anahudumiwa na mababa 4 tofauti bila wenyew kujijua
Huyu ni wa kuuawa ni muuaji bila kutenda hiyo jinai
 
We naona huelewi. Nimekwambia mtoto sio wa Michael kabisa. Alisingiziwa mimba. Sababu mpaka anakutana na huyo dada alikua ana ujauzito wa miezi miwili tayari. Nimechoka bwana kukuelezea
hivi kweli unaweza usimtambue mjamzito wa miezi miwili?.... aisee!!
 
We naona huelewi. Nimekwambia mtoto sio wa Michael kabisa. Alisingiziwa mimba. Sababu mpaka anakutana na huyo dada alikua ana ujauzito wa miezi miwili tayari. Nimechoka bwana kukuelezea
Ha Ha ha si unaona tabu hiyo sasa niliyoisema, ingawa mm nishaelewa.

Visa hivi ndiyo huwa unasikia mume kamuua mkewe maana unafikiria ni muda mali na upendo kiasi gani umepoteza katika kujali kiumbe ambacho siyo chako, lakini pia jamii itakuchukuliaje mtanziko huu ndiyo hupelekea maamuzi mabaya ambayo mwisho ni kugawana majengo ya serikali mmoja hospital kati ya ICU ukibahatika au mochwari na mwingine magereza ingawa siyo uamuzi sahihi maana sisi wakristo tunaambiwa tusamehe

Jambo la msingi ktk mahusiano yoyote ni uaminifu pamoja na uwazi kwa mwenzako itasaidia sana kutatua shida na changamoto zote
 
Mkuu hii ndo hali halisi
mkuu halafu hii tabia siku hizi imekomaa sana ni kwanini? kwanza sheria zetu zinasemaje kuhusu case kama hii? sababu huu ni unyanyasaji sio tu kwa huyo mwanaume bali hata kwa mtoto.

Mtoto akikua halafu akajakuskia stori kama hizi zitamletea psychological trauma mbali na kufahamu kwamba mama yake alimpata katika mazingira ya umalaya.
 
Mtoto atajisikia vibaya sana. Nilimuuliza Michael hakuna jinsi ya kumshtaki huyo mama maana kamfanya fala muda mrefu sana. Miaka mitatu anahudumia japo na yeye alishahisi kapigwa changa la macho

Back
Top Bottom