Vipo Sana,Impossible things are happening every day.Mimi sikuwahi kukutana na mtu anafanya hivyo leo ndo nimeona
Wajina you nailed it..kudosNa baadae atamwambia mtoto kuwa babaako alikukataa
Sasa unajua hyo inanzia hapoKuwapanga sio mbaya sana kama kusingizia mtu damu wakati unajua si yake.
Ndio white yaani hapo mtoto akikua unasikia baba yako alikukataa pindi upo tumboni..... tena alitaka tufanye na abortion kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba mzazi yupo na alikua analea mkuu. Mama alikua anavuta kwa baba mzazi na kwa baba fakeKiumbe cha Mungu aendelee kukilea, mtoto kama ameshapata akili hawezi kumsahau huyo aliyekuwa anamhudumia, Waziri wa sheria wa sasa alisisitiza kuwa kwa mila za kiafrika "" FATHERHOOD is SOCIAL and not BIOLOGICAL
Ndio white yaani hapo mtoto akikua unasikia baba yako alikukataa pindi upo tumboni..... tena alitaka tufanye na abortion kabisa
Inasikitisha kwa kweli ama kweli mwanamke mpumbavu huaribu future yake mwenyewe....
Wewe tenaUmenikumbusha jambo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe tena
Ni langu binafsi (nitalifatilia)Tukumbushe na sisi
wanawake wengine ni kinyaa zaidi ya kinyesi chenyewe! Pole michael mzee wa mikasa, shit happens. Chukua mtoto atakama we sio biological father ila mchukue kisheria ikiwezekana kama umelea na dingi yake hamtaki tangia hapo ulishamkubali. Uyo farida atafute supermario au ben10 amfadhili.Farida alikutana kimwili na Michael wakati ana ujauzito wa miezi miwili. Akamtafuta Michael warudie game Michael akamwambia hayupo amesharudi kazini. Farida akamwambia Michael ana ujauzito na yeye ndo baba wa mtoto. Michael kwa kuwa aliuza mechi kwa Farida akakubali kulea mimba na kodi ya nyumba akaanza kumlipia baby mtarajiwa. Baada ya miezi tisa farida akamwambia amejifungua salama mtoto wa kike. Kumbe alijifungua miezi miwili kabla. Na Mungu analipa hapa hapa duniani Farida akajifungua mtoto ana nywele za kiarabu kuulizwa akasema mtoto amefanana nywele na mama yake Farida. Kaka wa watu akaendelea kumtunza Farida na binti yake mpaka wiki iliyopita alipopata ukweli kuwa Farida amezaa na mwanaume mwingine na alikua anachukua child support kote kote. Michael alimpeleka mtoto kwa mama yake ili ampunguzie majukumu Farida ila alikua anampa Farida mpaka nauli akitaka kwenda kumuangalia mtoto.
Leo Farida kakosa mwana na maji ya moto. Baba mtoto wote wametambua janja yake ya kupokea child support mara mbili . Analia kwa ujinga wake wa kumbambikia mtoto mwanaume aliekua anamsaidia kuliko baba halisi wa mtoto.