Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,909
Huwa napend kujua vitu vidogo vidogo kwanza kabla ya kuzama kuchimba na kugundua yale makubwa.
Wadau Naombeni kujuzwa mwisho wa namba ni ngapi?.
Kuna Mamoja,makumi,mamia, Maelfu n.k je Namba zinahesabiwa hadi ngapi?
Asanteni wote watakaofanikisha hili.
Wadau Naombeni kujuzwa mwisho wa namba ni ngapi?.
Kuna Mamoja,makumi,mamia, Maelfu n.k je Namba zinahesabiwa hadi ngapi?
Asanteni wote watakaofanikisha hili.