Wanajeshi Uganda waamriwa kumkamata Bobi Wine akiwa hai au amekufa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Mkuu wa Jeshi la Uganda ametangaza kuwa amri mpya imetolewa kwa Wanajeshi wa nchi hiyo, kumkamata Bobi Wine, Mwanasiasa wa upinzani akiwa hai au amekufa.

Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kupitia kwenye Mtandao wa kijamii wa X, alisema kwamba walikuwa wameacha kumtafuta Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine kwa saa 24 kwa amri ya Kamanda Mkuu Rais Yoweri Museveni, ambaye hivi karibuni alichaguliwa tena kwa muhula wa saba kuiongoza nchi hiyo.

Bobi Wine amekuwa mafichoni kabla ya kutangazwa matokeo ya Uchaguzi wa hivi majuzi nchini Uganda.

Wiki iliyopita, Muhoozi alikuwa amempa Bobi Wine saa 48 kujisalimisha kwa Polisi, jambo ambalo alishindwa kufanya na Operesheni za kijeshi za kumtafuta hazijafanikiwa.

Bobi anadai kuwa kulikuwa na njama ya kumdhuru na kwamba alitoroka nyumbani kwake wakati Wanajeshi walipofika Ijumaa, tarehe 16 mwezi huu, siku moja kabla ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa.
Rais Yoweri Museveni alishinda uchaguzi uliopita kwa ushindi wa asilimia 71 , huku mpinzani wake Bobi Wine akipata asilimia 24 ya kura.

Hizi hapa nukuu za CDF Muhoozi Kainerugaba

“Tulisitisha utafutaji wetu wa Kabobi kwa saa 24 kwa maelekezo ya Amiri Jeshi Mkuu. Inaonekana, kulingana na baadhi ya vyanzo, alitaka kujisalimisha kwa amani. Hajajisalimisha popote. Sasa askari wetu wamepewa amri ya kumkamata akiwa hai au akiwa amekufa.”​

“Askari wangu hawakumpiga Barbie… mke wa Kabobi. Kwanza kabisa, hatuwapigi wanawake. Hawastahili muda wetu. Tunamtafuta mume wake mwoga, si yeye.”

1769406594771.png

Mikwara na danganya toto, Bobi ni project ya M7
 
Huyo Bobi Wine na Museveni lao ni moja. Kwa macho ya kawaida huyo ni kama yupo imposed ili kuonekane na upinzani.

Na hayo maneno ya mtandaoni ya Muhoozi, lengo lake ni kupanda hofu kwa waganda na sio kingine.
 
Siyo kweli ndo unataka kusema lisu na samia lao moja mtu yupo ndani mwaka mzima jera ulafu useme lao moja
 
Ndo maana Bobi Wine hawajamuweka ndani. Na huyo Bobiwine angekuwa na nia kweli kuwapambania waganda angegomea uchaguzi.

Issue ya Bobiwine na Lissu naona ni tofauti kabisa
 
Kugomea uchaguzi siyo kwamba ndo kupambania inamaana chadema huko nyuma walivyokuwa wanashiliki uchaguzi walikuwa hawapambani ishu ni mfumo mmbovu wa kupiga kula hadi kumpata mshindi shida yupo anahofia uhai wake
 
1769412199326.jpg

Akitaka utawala wa familia yake ueendelee ni amwachie mtototo wake madaraka sasahivi akiwa hai.

Lakini akisubiria mpaka afe ndo utakuwa mwisho wa utawala wa familia yake.

Mfano ni ya Mugabe kufia madarakani.
 
Mkuu wa Jeshi la Uganda ametangaza kuwa amri mpya imetolewa kwa Wanajeshi wa nchi hiyo, kumkamata Bobi Wine, Mwanasiasa wa upinzani akiwa hai au amekufa.

Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kupitia kwenye Mtandao wa kijamii wa X, alisema kwamba walikuwa wameacha kumtafuta Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine kwa saa 24 kwa amri ya Kamanda Mkuu Rais Yoweri Museveni, ambaye hivi karibuni alichaguliwa tena kwa muhula wa saba kuiongoza nchi hiyo.

Bobi Wine amekuwa mafichoni kabla ya kutangazwa matokeo ya Uchaguzi wa hivi majuzi nchini Uganda.

Wiki iliyopita, Muhoozi alikuwa amempa Bobi Wine saa 48 kujisalimisha kwa Polisi, jambo ambalo alishindwa kufanya na Operesheni za kijeshi za kumtafuta hazijafanikiwa.

Bobi anadai kuwa kulikuwa na njama ya kumdhuru na kwamba alitoroka nyumbani kwake wakati Wanajeshi walipofika Ijumaa, tarehe 16 mwezi huu, siku moja kabla ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa.
Rais Yoweri Museveni alishinda uchaguzi uliopita kwa ushindi wa asilimia 71 , huku mpinzani wake Bobi Wine akipata asilimia 24 ya kura.

Hizi hapa nukuu za CDF Muhoozi Kainerugaba

“Tulisitisha utafutaji wetu wa Kabobi kwa saa 24 kwa maelekezo ya Amiri Jeshi Mkuu. Inaonekana, kulingana na baadhi ya vyanzo, alitaka kujisalimisha kwa amani. Hajajisalimisha popote. Sasa askari wetu wamepewa amri ya kumkamata akiwa hai au akiwa amekufa.”​

“Askari wangu hawakumpiga Barbie… mke wa Kabobi. Kwanza kabisa, hatuwapigi wanawake. Hawastahili muda wetu. Tunamtafuta mume wake mwoga, si yeye.”
Is that Uganda People’s Defense Force or Museveni’s Defense Force?
 
Back
Top Bottom