Mwisho wa MSN messenger 2013 kila kitu kinahamia Skype.

Mwisho wa MSN messenger 2013 kila kitu kinahamia Skype.

hivi bado kuna watu walikuwa wanatumia msn kweli?
 
Yah, naona imepitwa na skype kwa mbali kwa hiyo hawana choice

Sio hivyo mkuu skype na msn ni ndugu wa baba mmoja microsoft so ya nini kua na skype messenger na msn messenger? Wakati wote owner wao mmoja wamevunja moja kuimarisha nyengine
 
hivi bado kuna watu walikuwa wanatumia msn kweli?
Umeniwahi Aisee! Mi sikumbuki mara ya mwisho kuchati na hii kitu ilikuwa lini....years back!

Lakini kama wanavijumuisha na kufanya program yenye mambo zaidi...fine 😉
 
Duh!!! Sikumbuki mara ya mwisho kuona mtu anatumia msn ni lini.
 
Sio hivyo mkuu skype na msn ni ndugu wa baba mmoja microsoft so ya nini kua na skype messenger na msn messenger? Wakati wote owner wao mmoja wamevunja moja kuimarisha nyengine
Sawa , I guess microsoft wali-acquire skype , ila kabla owners walikuwa tofauti
 
Back
Top Bottom