Mwisho wa kuchepuka wanawake

Mwisho wa kuchepuka wanawake

Watu ambao hawajaoa/kuolewa uwa mahodari wa kujifanya wanatoa ushauri kuhusu ndoa.
 
Mmmhhh! Yaani badala ya kukaa na kuwashauri wanaume wenzio jinsi ya kuwatosheleza wake zao wewe unashauri wanunue nyeti za bandia hivi mzima wewe?
nadhan hana uzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa wanaume ambao mnahisi hamuwatoshelezi wake zenu ipasavyo jaribuni kukaa na wake zenu muwashauri waache kuchepuka badala yake watumie ARTIFICIAL PENIS {nyeti za kiume bandia}...hii itawasaidia sana wanaume hasa wale wa Dar wazee wa chipsi yai + take away bariiidi....
Huwa nacheka sana na hili neno LA wanaume wa Dar
 
Kwa wanaume ambao mnahisi hamuwatoshelezi wake zenu ipasavyo jaribuni kukaa na wake zenu muwashauri waache kuchepuka badala yake watumie ARTIFICIAL PENIS {nyeti za kiume bandia}...hii itawasaidia sana wanaume hasa wale wa Dar wazee wa chipsi yai + take away bariiidi....
Nani atumie madude yasiyopumua? Mmmh mi siweziiii kwakweli... Halijui hata kuniambia maneno ya uongooo?
Aiseeee hapo mimi TUUUUIIII
 
jangala kwa maelezo na ushauri wako, inaelekea umeingiza mzigo na unatafuta wateja. Good marketing technic mkuu.
 
Back
Top Bottom