mwisho wa dunia 21st october 2011

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
A self proclaimed American prophet who was embarrassed early this year after his end of the world prophecy failed to unfold has declared that the world coming to a final end this Friday 21st October 2011.
This will be the third time Harrold Camping has made a prophecy which he says the whole world will see.
His first prophecy in 1994 did not happen and his latest prophetic oracle on May 21st this year raked in more than 80 million dollars in as scores of families sold their life savings to donate to his project.
The US prophet pays his staff members’ exorbitant salaries.
This year alone, Harrold Camping’s organisation was reported to be paying its employees 23,000 US Dollars per month
 
nasema hivi!!!kesho naenda bank kukomba hela zote nitalala barrrrrrrrrrrrrrrrr
 
wote wanaokiamini hiki kibabu nadhani hawajui maandiko yanasemaje.ikiachana hiyo funga kazi ni ya mwaka kesho mwezi wa 12-hawa ni mason kazi kweli kweli jamani haya mambo yapo lakini uzushi mwingi MUNGU si mnafiki hata kidogo akiamua kitu anafanya kweli hana kauli ya unajua....
 
Hicho kizee si wakitie risasi kife ili kikienda kuzimu ndio atu-email taarifa za uhakika kuliko kudemadema tu.
 
Mbona washasema sana kuhusu mwisho wa dunia lakini yote ni uongo, labda hii ngoja tusubiri
 
Kwa mujibu wa dini ninayoamini, mwisho wa dunia ni siri yake Mungu. Hakuna anayejua hapa ulimwenguni hadi mbinguni. Huyo anayetabiri anajitafutia umaarufu tu.
 
mnh,inayotakiwa kufuatwa ni bible na sio mtu....hao wanaomuamini huyo babu ndio wana matatizo zaidi kuliko yeye mwenyewe lol
 
Back
Top Bottom