Thanks MR. Pres. Ally Hassan Mwinyi
Aliikuta nchi katika hali ngumu ya kimaisha, akaibadilisha nchi kwa kutufumbua macho, thanks Mzee wetu. Mzee Ruksa ni kiongozi wa kuigwa duniani kote. Tanzania ilikuwa haina demokrasia, lakini akatupa RUKSA tufanye tunavyotaka kwa misingi ya haki, na ukweli.
Leo Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari, education, demokrasia ya vyama vingi, yote kwa sababu ya Mzee wetu MR. PRES. Ally Hassan Mwinyi. Mzee Mwinyi You are TRUE PRESIDENT. Tumshukuru Muumba wetu kwa kutupa A TRUE PRESIDENT.
Akafungua madirisha ili tupate hewa safi lakini nzi nao wakepenya pia!
Vision leader or visionary leader?...either way he wasn't....he brought this Kwere problem onto us
Hao nzi una maanisha mama Sitti alipokaribisha waarabu wakanunua zile mbuga na kulamba TAUSI kibao....Mwinyi aliongoza nchi akiwa kitandani.....
Exactly! He was a visionary Leader the nation had never experienced before. Nyerere alileta ukatoliki wake na kumrithisha mwanae mpendwa Mkapa. JK anajaribu kufuata nyayo za Mwinyi ingawa bado hajafanikiwa kuvivaa viatu vya Mwinyi vema. Marais bora nchini kwetu ni MWINYI, JK, Mkapa na wa mwisho ni Nyerere
No, Not me ...
Nichangie kidogo kabla huu mjadala haujaelekea kwenye udini, kwa sababu naona unaelekea huko haraka ...
Naweza kusema matatizo tuliyo nayo sasa hivvio ya kutokujua tuko wapi, tunaelkea wapi yalianza hasa na Utawala wa Mwinyi. Aliyakuta matatizo ni kweli, kama ambavyo viongozi woye wanaoingia madarakani wa wanakuta matatizo. Ndiyo maana wanagombea na kuchaguliwa kutatua matatizo.
Mwinyi alitakiwa kuichukua nchi na kueindeleza bila kuvuruga yale mazuri aliyoyakuta. Kwa maana ya kutumia nguvu ya soko KWA MASLAHI YA NCHI HII, bila kuvuruga mihimili ya uchumi aliyoikuta. Kulikuwepo na viwanda kede kede, sasa hivi viko wapi? Huwezi kusema viwanda vya kutengeza nguo kwa kutumia pamba yetu vilikuwa havifai. Vivyo hivyo vile vya viatu, karatasi n.k. n.k.... Kama Nyerere alifanya alichoweza, basi ilitakiwa Mwinyi arekebishe makosa twende mbele. Alichofanya ni kutupa yote alojenga Nyerere, mazuri na mabaya kwa jumla ... hakuweza kuchekecha na kujenga contunuity fulani ya ujenzi wa nchi yetu. Mwinyi alikuwa na chance nzuri sana ya kufanya hivyo. HAKUFANYA.
Wengi wanaweza kumsifu Mwinyi kwa kujaza bidhaa madukani toka nchi za nje. Cha kujiuliza ni kama vitu hivyo vingeweza kujazwa toka kwenye viwanda vyetu, hata kama siyo vyote.
Wachina walire-form na kutumia nguvu ya soko kuboresha uchumi wao... sote tunajua walipo sasa.
Kwa kifupi, utawala wa Mwinyi ulikuwa mwanzo wa nchi yetu kurudi nyuma. We are yet to recover! Kwa sababu dira mimi bado siioni!
Visionary leader? Where is the vision?
Hakuna kitu, Mwinyi hana tofauti na JK wa sasa, Inamaana Gb yako ni ndogo na haina Antivirus kwani umeshindwa kukumbuka yanayo tokea huko Loliondo kwa sasa?Thanks MR. Pres. Ally Hassan Mwinyi
Aliikuta nchi katika hali ngumu ya kimaisha, akaibadilisha nchi kwa kutufumbua macho, thanks Mzee wetu. Mzee Ruksa ni kiongozi wa kuigwa duniani kote. Tanzania ilikuwa haina demokrasia, lakini akatupa RUKSA tufanye tunavyotaka kwa misingi ya haki, na ukweli.
Leo Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari, education, demokrasia ya vyama vingi, yote kwa sababu ya Mzee wetu MR. PRES. Ally Hassan Mwinyi. Mzee Mwinyi You are TRUE PRESIDENT. Tumshukuru Muumba wetu kwa kutupa A TRUE PRESIDENT.
Vision leader or visionary leader?...either way he wasn't....he brought this Kwere problem onto us
Inategemea na uwezo wako wa uelewa. Mwinyi naweza kusema alikuwa rais mwenye matatizo kuliko rais yeyote hapa Tanzania. Lakini matatizo hayo hayakutokana na dini yake, Mkapa alikuwa rais mzuri kuliko Mwinyi lakini uzuri wake haukutokana na dini yake, JK tunafahamu urais wake ulivyo dini yale pia si tatizo. Tatizo ni kuwa aliingia ulingoni akiwa amefungwa kamba, mafisadi (wengi wao ni wakristo) wanadhibiti nchi kwa hiyo ameshindwa kuonesha uwezo wake wa utawala, ndio maana katika kipindi cha miaka mitano hajafanya kazi yoyote.
Mr.You don't have fact on what you said. Mwinyi alikuwa anasema "Utaweza wapi kumkamua MaziwaNg'ombe ambaye hana lishe bora? Mkapa aliweza kukusanya kodi kwa sababu Mwinyi aliweza kuwanufaisha Watanzania kimaslahi, kielimu, kiuchumi nk. Mwinyi aliikuta nchi TAABANI. Zungumza ukweli. Kuwa na Critical Thinking it doesnt mean you have to disagree on every issues, Mr. Use your knowledge to help others, Mr.