Mwinyi ndiye Rais bora kuwahi kutokea katika Taifa hili, anaondoka wala hatuna kinyongo nae


Aliyewahi kusema Ngorongoro kuwa Waarabu ni nani ?
Je ni kweli au ni uzushi?
 

Nimekumbuka mambo ya Stella Attoys nikiwa Mdogo .
 
Siasa na dini zinawatesa sana wachag*a na Cdm

Kama ukiwa mfuasi wa hayo makundi ya kijamii unakuwa unasumbuliwa sana na vitu viwili chuki ya 'dini na wafuasi wa chama na vyama vyengine' take it easy man
Maghayo una huyu mwenzako anahangaika kuchukia marehemu.
 
Mwinyi huyu aliyemuua mwandishi wa habari Katabaro kisa kahoji Warabu Kuhuziwa Loliondo.Kama Mrema angelikuwa hai ndiye angelisimulia maana kuna kipindi alimkamata mke wake akitorosha dhahabu,na uwaziri wa mambo ya ndani ukakomea hapo.
 
Ni maoni yako mama. Lazima tuyaheshimu. Lakini kwangu mie Julius Nyerere ndiye Bora zaidi
 
Nyie wenzetu ndo maana tawala zenu zinakuwa na udokozi mwingi! Upole kwenu ndo sifa ya uongozi;; tunaibiwa mnachekacheka tu
 

Nimependa jinsi Jaji Warioba alivyomuelezea. Kwa kweli kamuongelea vizuri sana mpaka nimemuona tofauti na jinsi nilivyomuona huko nyuma. I never looked at his regime from that angle .... Thank you Judge Warioba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…