Mwinyi katuachia laana!

msingizie raisi mwinyi bure. tanzania tumelaaniwa na mungu kwa kulichukia taifa la Israel. wewe chunguza nchi zote zilizomchukia israel, hazina soka zuri, utalii unaporoka na shilingi kushuka thamani. Misri, tunisia na moroco ni mataifa ya kiarabu marafiki wa israel, ona yalivyobarikiwa kisoka.

mataifa yote ya kikomunisti yaliyojiingiza kuichukia israel, hayana kabisaa mafanikio ya kisoka. mataifa ya latin america yaliyoipenda israeli, yana mafaniki mazuri ya kisoka. ghana, cameroon, senegal, ivory cost, zaire, nigeria ni mfano wa mataifa rafiki wa israel, ona yalivyobarikiwa kisoka. kenya ni rafiki wa isrel, ona ilivyobarikiwa katika marathon na utalii .

tanzania inabidi itubu na kurudisha ubalozi wetu nchini israel, nakuhakikishia tutacheza world cup fainali kule brazil.

mungu alimwambia jacob, atakayekupenda na mimi nitampenda na atakaye kulaani na mimi nitamlaani. wachezaji wetu wakienda kutafuta timu kubwa kuajiliwa hawapati ajira.utalii tunao lakini hatufaidiki! madini tunayo lakini hatufaidiki, wachezaji wazuri tunao kama kina ngassa, ulimwengu na samata lakini hatufaidiki! mpende mtoto wa yakobo ili upate heri na mafanikio makubwa ya kiuchumi duniani.
 
Heri kenya wakizidiwa mpira wana pa kuegemea, mbio, maana kwa mbio hawana mpinzani. Wabongo je?
 
Unajua kwenye kazi yeyote ile mpira ikiwa mojawapo, licha ya utaalamu, pia uwajibikaji ni kitu muhimu sana.
Tunahitaji kubadilika kuanzia mtu mmoja mmoja.

Ni kweli inabidi kubadilika mtu mmoja mmoja kuanzia makocha, wachezaji na mashabiki. Tunalewa sifa tukipata mafanikio kidogo!
 
msingizie raisi mwinyi bure. tanzania tumelaaniwa na mungu kwa kulichukia taifa la Israel. wewe chunguza nchi zote zilizomchukia israel, hazina soka zuri, utalii unaporoka na shilingi kushuka thamani. Misri, tunisia na moroco ni mataifa ya kiarabu marafiki wa israel, ona yalivyobarikiwa kisoka.

mataifa yote ya kikomunisti yaliyojiingiza kuichukia israel, hayana kabisaa mafanikio ya kisoka. mataifa ya latin america yaliyoipenda israeli, yana mafaniki mazuri ya kisoka. ghana, cameroon, senegal, ivory cost, zaire, nigeria ni mfano wa mataifa rafiki wa israel, ona yalivyobarikiwa kisoka. kenya ni rafiki wa isrel, ona ilivyobarikiwa katika marathon na utalii .

tanzania inabidi itubu na kurudisha ubalozi wetu nchini israel, nakuhakikishia tutacheza world cup fainali kule brazil.

mungu alimwambia jacob, atakayekupenda na mimi nitampenda na atakaye kulaani na mimi nitamlaani. wachezaji wetu wakienda kutafuta timu kubwa kuajiliwa hawapati ajira.utalii tunao lakini hatufaidiki! madini tunayo lakini hatufaidiki, wachezaji wazuri tunao kama kina ngassa, ulimwengu na samata lakini hatufaidiki! mpende mtoto wa yakobo ili upate heri na mafanikio makubwa ya kiuchumi duniani.

Hii kali, lakini mbona Israel nao sio wazuri sana kwenye michezo?
 
Wewe akili zako sawa na Boban tuu! Lini hao watu wako waliqualify world cup?? Masaburi yako !
 
taifa staa ikicheza na vichaa wa brazil pia inaweza ikafungwa, au wacheze na timu ya wanawake ya brazil uone, au timu ya walemavu brazil, hiyo ndio taifa staa au sijui kili star yetu, mmmmmh!
 
Ahahahaah!! Timu ya wanawake ya Brazil nahisi hatuwezi kabisa kutia goli..
 
mbona hata maurinho anakula whysky? pombe ndo catalyst

Mlikuwa mnataka kocha mzawa mkapewa Jamuhuri Kiwelu, kocha gani anashinda Magome Mapipa, Delaxe bar anakunywa bia tu, hiyo mipango au mbinu za ushindi atazifanya muda gani?
 
Umeona eeh!! Huyu jamaa sijui vipi!
.....................aaah! Huyu jamaa anatuchanganyia mada tuu! Israel..... Israel........ Israel ! Aaagh! Sie tuna hasira yeye hajui eeh? Wametuzuia kuzomea, we unafikiri hasira tukazimalizie wapi ? Halafu haoo Waisrael wake vijana wote kutwa wanatembea na bunduki za kuua, huo mpira wanacheza saa ngapi ?
 
Jamaa kwa kweli mimi kanishangaza, anamaanisha tukifungua ubalozi tu Israel tutafanya vizuri kwenye michezo! Ahahahaaa!
 
Back
Top Bottom