Kiguu na njia
Member
- Dec 25, 2010
- 95
- 21
My take;my take:
naona hz ni hasira za kupigwa mabomu pale kanisani kwake...!
Wale wanaokunywa mnazi asubuhio badala ya chai?Mmmh! huyu nae sasa anataka wenye imani zao kuanza kusema anampigia kampeni 'Padri'
Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni 2015 kama alivyoitabiria KANU ya Kenya...!! ametoa mifano kadhaa ya Biblia kuhusu Shedrack, Meshack na Abednego waliotupiwa kwenye moto lakini hawakuungua. ameeleza kwa ujasiri sana kuwa watawala wa Tanzania wataharibikiwa mambo yao kutokana na maovu wanayowafanyia waTz..!
my take:
naona hz ni hasira za kupigwa mabomu pale kanisani kwake...!
My take;
Naona una hasira na Mtumishi wa Mungu kutabiri painful truth.
wakati akitamka hayo audience ilikuwaje?
LAkini katika hilo uongo uko wapi?
CCM wameanza zamani tu kujiandaa kuwa chama cha upinzani.