Mwingine BAVICHA ajiunga na CCM

Vijana wengi wakigundua kuwa chadema ni chama cha kilaghai hukikimbia chama hicho.
 
Hii topic ingepelekwa jukwaa la biashara maana hapa naona imekaa kibiashara zaidi. Nape tumia akili japo kidogo sasa sijui huko CCM mmemuaidi au mmempa Cash kiasi gani! maana sioni siasa hapa wala ujenzi wa Taifa.
 
Ajiandae ataweza kuzurura kama vascodagama Alhaj Kikwete na mjumbe wa NEC hajat salma
 
Hayu atakuwa ameshindwa kufuata amri za Padri Slaa

Ndio huo Udini mnaouendekeza. Huwezi kulala wala kuamka bila ya kumuwaza Dr! Nadhani Ahadi alizopewa CCM zitatekelezeka kama zilivyotekelezwa za Lamwai, Kaborou, Tambwe Hiza na Ngawaiya.
 
Aende kwa amani, yawezekana alikuwa mzigo kwa chama na mkwamishaji wa mipango ya chama.
 
Naona Nahum anajipongeza kwa kumpata kijana wa Chadema.
Kwa akili yenu ndogo ccm mnadhani mtawashawishi wananchi wawaunge mkono kwa njia hii ya kuwanunua vijana wa Chadema badala ya kutekeleza ahadi za ilani yenu ya uchaguzi.
 
Ukituliza akili utaona kabisa huyu unayemkaribisha ni tatizo!! Lakini kwa kuwa nia ni kuona angalau mwanachama mmoja wa Chadema anakwenda CCM, unashindwa kuona the writing on the wall!! Anaondoka kwa kutotimiziwa ahadi. Anaondoka kwa hasira na akidhani kwa kwenda CC analipa kisasa fulani. CCM is receiving a desperate mwanachama!! An over-ambitious person who is looking 4 personal gains. Na hiki ndicho kinachotokea CCM (Ref: rushwa ndani ya chaguzi, Presidential appointments (even though lawful n legal), kujivua gamba etc)Na huenda kaona hili ni jema baada ya kuona Shonza na Mwampamba wakipata headlines CCM. Sasa wako wapi??PS.Usinielewe kama Chadema, I am just being objective!! And of course not allowing myself to be carried away!!
 
Aliahidiwa kupewa mke na kulishwa familia yake. Amesubiri bila mafanikio akaamua ajiunge na mabingwa wa kuahidi wakiongozwa na sultan king Jk.
 
Ingekuwa ni kichekesho kwa Masalia huyo kubaki Chadema huku ikijulikana mpambanaji namba moja dhidi ya wasaliti hao ni Ben Saanane na ametokea wilayani Rombo.Charity must begin at home.
 
Last edited by a moderator:
Vijana wengi wakigundua kuwa chadema ni chama cha kilaghai hukikimbia chama hicho.
Mbona wewe umebaki kuondoka unajua hadhi itaisha mara 1000 zaidi ya ulivyo sasa mappupet bwana hayataisha mpaka siku ya kiama chadema imefanya your entire family wamebenefit unajidai kudharau nyuma ya kompyuta kwa taarifa yako kabla hujafa ujue wapo watakao ilinda na kuifia chadema kuhama kwa mtu ni hiyari sio mwanzo wala mwisho watu kutoka CCM kwenda chadema au kutoka chadema kwenda CCM mind your steps
 
Hii topic ingepelekwa jukwaa la biashara maana hapa naona imekaa kibiashara zaidi. Nape tumia akili japo kidogo sasa sijui huko CCM mmemuaidi au mmempa Cash kiasi gani! maana sioni siasa hapa wala ujenzi wa Taifa.

Mkuu siunajua ccm wanafanya biashara ya siasa. Willing buyer vs willing seller!
 
Ingekuwa ni kichekesho kwa Masalia huyo kubaki Chadema huku ikijulikana mpambanaji namba moja dhidi ya wasaliti hao ni Ben Saanane na ametokea wilayani Rombo.Charity must begin at home.

Msaliti anapopewa sifa ya upambanaji namba moja wa wasaliti!!!
Only in chadema, chama cha kilaghai...
 
Mkuu usimwage povu kiivyo kimsingi mchizi kashindwa kutekeleza Amri za Padri Slaa za kuua watu
Kumwita dr slaa, padri slaa ni kuchokoza imani za watu kwa sababu hapa tunazungumzia siasa, wakianza kuwaka kuhusu viongozi wenu wa dini mtaanza kulia na mods na kwamba mnaonewa, tujiheshimu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…