emma115
Senior Member
- Apr 28, 2012
- 135
- 167
Kuna jamaa wawili,walikwenda kuwinda, mmoja alikuwa mtaalamu wa kulenga mwingine wa kuchuna, mtaalam wa kuchuna alibaki garini na mwenzake akashuka kuwinda. o Ile anakatiza kichakani mara Simbahuyoooo!o Ikabidi jamaa aanzekukimbia vibaya mnohuku akipiga kelele fungua fungua......!?o Mwenzake akafungua mlango wa gari, jamaa anakaribia mlangoni huku Simba akiwa nyuma, Simba akarmrukia, bahati mbaya jamaa akaanguka chini, Simba akajikuta ndani ya gari, jamaa akaamka haraka akafunga mlango na kumwambia mwenzake..''ANZA KUMCHUNA NAKWENDAKULETA MWINGINE''...