Nia ovu unaipimaje?Ili tuchangia ni lazima tujue kama kuwepo kwake kwenye mto Msimbazi kama kunatokana na ni ovu!!
Kipindi cha awamu iliyopita ulikuwa unapiga kelele juu ya kufanyika uchunguzi ama ulikuwa unakata viuno tu wakati watu walikuwa wakilalalama kila wakati.Msiishie kusema ni mvua mafuriko.
Maana akili ya Mtanzania ni fupiiiiii kama mbilikimo.
Ifanyike Forensic Investigation
Kitaalam.Nia ovu unaipimaje?
Leo ndio mnapendekeza huo utaratibu kwa sababu mmehamia CCM!Kitaalam.
1. Huyo mtu ni nani?
2. Alikuwa anafanya kazi gani?
3. Ni ME au ni KE?
4. Alikuwa anaishi wapi na alikuwa anaishi na nani?
5. Mara ya mwisho maisha yake yalikuwa yanahusiana na nini na nani pia?
6. Kama alikuwa na simu jee rekodi zake zinaweza kutoa fununu yoyote?
7. Kuna mtu yeyote anayejua mara ya mwisho kabla ya kufariki kwake alionekana wapi?
Kipindi cha awamu iliyopita ulikuwa unapiga kelele juu ya kufanyika uchunguzi ama ulikuwa unakata viuno tu wakati watu walikuwa wakilalalama kila wakati.
Huo mwili kwa vyovyote vile ni matokeo ya mafuriko maana miili ya mauaji ya kupangwa hauwezi kutupwa hapo tulizoea kusikia imekutwa kwenye viroba katika fukwe za bahari.
Lini utaratibu huu tuliukataa? Umesahau tulivyokuwa tunataka "Scotland Yard" waje kufanya uchunguzi ili ijulikane nani alikuwa anataka kumuua LIssu? Huu utaratibu ndiyo wenye akili hutaka ufanyike!!Leo ndio mnapendekeza huo utaratibu kwa sababu mmehamia CCM!
MvuaUzuri magu ashakufa tuone atasingiziwa nani sasa
Kwani ni mara ya kwanza watu kuokotwa wakiwa wamekufa. Kwani kila mtu aliyeokotwa amekufa enzi za Magufuli ilisemwa kauawa na Magufuli.Uzuri magu ashakufa tuone atasingiziwa nani sasa
Inna lillah wa inna ilaih rajunKuna mzee mmoja kipindi anarudi chama cha mboga mboga alisema haya hayata tokea tena sasa imekuaje tena.
===
Kwa mujibu wa Maelezo ya Polisi, mwanaume huyo alisombwa na maji wakati akijaribu kuvuka kutoka upande mmoja wa mto kwenda upande wa pili. Ndugu wa Marehemu wameweza kuutambua mwili huo ambao kwa sasa ulikuwa umeanza kuharibika.