Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

Moshe Dayan

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2008
Posts
815
Reaction score
710
Mwili wa marehemu LT.RA MLIMA utawasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa DAR leo jioni 1925hrs kwa ndege ya KQ 486.Mwili wa kijana wetu shujaa utapokewa kwa heshima zote kijeshi.Ikumbukwe marehemu alifariki akiwa mission ya UN alias MONUSCO tarehe 27 oct.Shujaa Mlima alikua commando aliyesomeshwa u-commando nje ya nchi na vile vile alikua mkufunzi wa makomandoo pale 92KJ.

Nchi imepoteza rasilimali muhimu na ya gharama sana katika masuala ya Ulinzi na Usalama.Marehemu alifariki papo hapo baada ya kupigwa risasi na sniper.

Vijana aliokua nao walijibu shambulizi hilo kwa nguvu kubwa na kufanikiwa kuondoka na marehemu (evacuation) na kuelekea kwenye ngome kwa usalama zaidi.mapambano yalikua makali lakini vijana walipigana kishujaa kwa covering fire huku wakihakikisha hakuna majeruhi mwingine.
Marehemu ataagwa kesho Lugalo saa nne asubuhi, sala ya kumuombea marehemu itafanyika msikiti wa Mamulu Upanga, baada ya hapo, marehemu atazikwa makaburi ya Kisutu.
RIP, SHUJAA.UMEKUFA UKISAIDIA JIRANI YAKO AISHI KWA AMANI. U DIED WAVING TANZANIAN FLAG UP HIGH, SACRIFICING YOUR LIFE FOR OTHERS! THATS OUR JOB.RIP COMMANDO MLIMA.
 
kinachosikitisha zaidi, kwa umri wake na taaluma ya kijeshi aliyokua nayo nchi ingemtumia kwa muda mrefu sana na kwa manufaa makubwa ya nchi kwenye ulinzi na usalama, lakini ndo hivyo, kwenye vita vifo haviepukiki
 
- Dhahabu tunatoa
- Almas Tunatoa
- Tanzanite Tunatoa
- Gesi Tutatoa
Sasa imefikia tunatoa hata Askari wetu Muhimu ambao nchi imetumia ghara kubwa kuwasomesha, imefikia wakati sasa viongozi wetu watumie akili za Gaddaf kwani alipoombwa msaada na Idd Amin wa Askari na Silaha alipewa Silaha pamoja na Mgambo tena wazee.

R.I.P kamanda kwa kuwa ulikuwa mkufunzi ni matarajio yangu umeacha Urithi.
 
Rest in peace soldier
A soldier dying in battlefield
What a great sacrifice
Protecting the innocent ones
One giving life for others
The pride of a soldier
Go soldier go
We read your footprints
And we walk the path
Men standing fighting for the country
Men standing with strong heart
Go soldier go
 
Rest in peace soldier
A soldier dying in battlefield
What a great sacrifice
Protecting the innocent ones
One giving life for others
The pride of a soldier
Go soldier go
We read your footprints
And we walk the path
Men standing fighting for the country
Men standing with strong heart
Go soldier go

well said comrade,
 
Kifo cha Lt mlima kimetuumiza sana,hawa m23 na m18 naomba wasambaratishwe ghafla!

kwa sasa wamedhoofishwa sana, na central command yao haina nguvu tena, they no longer fight as one strong force, wanachofanya saivi ni guerilla tactics kama walivyofanya kwa kumuua commando mlima, hii tactic hutumika ili ku-incite anti-war or anti-mission debates kwenye nchi husika, baada ya kifo cha mlima nilikua napitia mitandao nikaanza kuona opposing debates zimeanza, lakini generally public bado ipo behind our men and women in combats, haya mambo waasi wanafanya makusudi.they know what they are doing, na wanalenga maofisa ili ku-create fear and panic kwa wafuasi wao, trust me this is text book tactics
 
Back
Top Bottom