Queen V
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 775
- 1,332
Mwili wa Mchekeshaji Kinyambe utazikwa leo. Marehemu alifariki usiku wa kuamkia tarehe 12 mwezi May 2016.
Mwili wa Marehemu ukitolewa Hospital
Picha: Mamia mkoani Mbeya wajitokeza kumzika Kinyambe
Mamia ya wakazi wa Jiji la Mbeya leo wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa msanii wa komedi James Kinyambe aliyezikwa nyumbani kwao huko Makondeko, Kata ya Igawilo, Uyole mkoani Mbeya.
Kinyambe alikuwa ni komedian mwenye style tofauti ya Uigizaji na taarifa zilizopo ni kwamba amefariki kwa ugonjwa wa kujaa maji kwenye mapafu japokuwa inaaminika alikuwa hatumii pombe wala sigara.
Msiba wake ulihudhuriwa na wasanii wengi hasa wa komedi na kusema kuwa Kifo chake kimeacha pengo kubwa katika upande wa komedi, kwakuwa hakuna atakaeweza kucheza kwa style yake.
R. I. P