Mwili unahitaji mapumziko, usipoupa nafasi ya kupumzika unajipumzisha

Natamani ningepata wa namna hiyo..wengine sisi wanaume zetu wanaratiba zote za mpira kichwan... hana side hustle..karidhika na vimshahara uchwara vya huyu mjinga ila angalia huyu baba...
Ndio maana nikauliza hatafuti mke, sema tatizo la wagane wengi ni kulinganisha mke mpya na marehemu wake zao

Kuna tofauti kati ya marehemu mke na ex aliye hai
 
Natamani ningepata wa namna hiyo..wengine sisi wanaume zetu wanaratiba zote za mpira kichwan... hana side hustle..karidhika na vimshahara uchwara vya huyu mjinga ila angalia huyu baba...
Wanawake hawaridhikagi, hata iweje na wana huruma za ajabu.

Unaweza kumpenda na kumuonea huruma halafu hapohapo asipokutimizia hitaji moja tuu la ajabu au wivu, ukamchukia na kumsaliti kwa bodaboda
 
Wanasemaga listen to your body. Ukiona mwili umechoka upumzishe, mwili ukigoma umegoma utaishia hospital kupewa madrip na sometimes Fatigue inaua.

Kuna mama namjua alikufa sababu ya fatigue, alikuwa Anafanya Kazi usiku na mchana kusafiria nje kikazi kila siku Hakuna kupumzika. Kuna siku alisafiri Alirudi akaenda kazini akazimia, kupelekwa hospital wanasema fatigue hapumzishi mwili Sasa mwili unagoma kufanya kazi, bahati mbaya hakupona alifariki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom