Mwili kuchoka na usingizi usioisha

bandubandu

Senior Member
Dec 19, 2010
102
28
Natumai muwazima wana jf,nimekuwa na tatizo ambalo sielewi linasababishwa na nn,nasikia uchovu sana kiasi cha kuhisi kama naumwa na tena muda mwingi nakuwa najisikia kulala,naomba msaada madaktari.
 
Mkuu hio inaweza kusababishwa na mambo mengi tofauti kuanzia aiana na mpangilio wa chakula mpaka pirika zako za kila siku ukijumlisha na mda wako wa kulala na kama unalala vizuri usiku mzima na kwa masaa mangapi..

Sasa ni vigumu kujua labda utoe ratiba yako ya siku na mpangilio wa mlo watu wanaweza kukusaidia.

Pole sana mkuu.
 
Mind your language pls
 
Mh kama alivyosema arsene,je unapata muda wa kutosha wa kupumzika na kulala?inaweza ikawa siyo ugonjwa bali ikawa ni mlolongo wa timetable yako ya kila siku.kumbuka mwili unahitaji muda wa kureboot kama computer..make sure u live a healthy active life with sufficient time to rest.kama tatizo linaendelea unaweza kuenda kufanya baseline investigations hospitali kama vile kucheki kiwango cha damu mwilini,kuangalia kama moyo unafanya kazi vizuri nk...
 
.......kuchoka sana kunaweza pia kusababishwa na kulala katika chumba ambacho hakina hewa/ hakiingizi hewa ya kutosha.
 
Ushauri wa hapo juu ni muafaka ili upate majibu sahihi.
 
umelogwa wewe....na yahaya ndo ivo tena ..utaenda wapi tena?

Wakati mwingine inaweza kusababishwa na upigaji wa punyeto au kufanya ngono kupita kiasi tena utaongeza tatizo la ziada utakuwa msahaulifu.
 
Kijana ni mastress tu hayo. Bisha kama huna mastress?. Take life easy mkuu. na kama alivyosema mdau hapo juu kama unaoverdose nyeto na ngono hii ndio outcome yake. Punguza.
 
Ukosefu wa madini mwilini pia unachangia...mi niliendekeza huo uchovu na usingizi wa kila saa mpaka siku nipoanguka ndo nikachukulia serious.Turns out madini ya chuma hayajitoshelezi mwilini.

Pia kama hivyo vyote vinaambatana na maumivu ya kichwa kwa sana+maumivi ya eneo la shingo angalia usijekuta una homa ya uti wa mgongo (MENINGITIS).Mtu wangu wa jaribu sana alikua kichwa hakimuachi usingizi popote ila hakudhani kuna zaidi ya uchovu wa kazi...siku inagundulika ameshachelewa.Kama unaweza fanya full body check up...just to be on the safe side!
 
Natumai muwazima wana jf,nimekuwa na tatizo ambalo sielewi linasababishwa na nn,nasikia uchovu sana kiasi cha kuhisi kama naumwa na tena muda mwingi nakuwa najisikia kulala,naomba msaada madaktari.

Nahisi unatatizo la upungufu wa maji mwilini.jitahidi kunywa maji mengi kila mara.Na kama wewe ni Mwanamke huenda ni mjamzito na unayochanga huwa na tabia hizo.
 
Natumai muwazima wana jf,nimekuwa na tatizo ambalo sielewi linasababishwa na nn,nasikia uchovu sana kiasi cha kuhisi kama naumwa na tena muda mwingi nakuwa najisikia kulala,naomba msaada madaktari.

pole sana, naomba ni PM jinsia yako, urefu wako in cm, na uzito wako in Kilogram, ndo naweza kukupa ushauri wa kitalaam
 
Pima kwanza halafu kunywa maji hai yaani bio water yaliyotengenezwa na bio disc.
Unique
 
Natumai muwazima wana jf,nimekuwa na tatizo ambalo sielewi linasababishwa na nn,nasikia uchovu sana kiasi cha kuhisi kama naumwa na tena muda mwingi nakuwa najisikia kulala,naomba msaada madaktari.

labda hulali masaa ya kutosha na hivyo kusababisha hali hiyo ya kusinzia na kujisika kuchoka sana. Kama hulali angalau kwa masaa saba kila usiku basi jitahidi ili uweze kufanya hivyo, lakini kama unalala masaa kama hayo au zaidi basi labda kuna tatizo lingine.
 
Natumai muwazima wana jf,nimekuwa na tatizo ambalo sielewi linasababishwa na nn,nasikia uchovu sana kiasi cha kuhisi kama naumwa na tena muda mwingi nakuwa najisikia kulala,naomba msaada madaktari.
Una uchafu mwing kwenye damu, mwone dr akupime damu na mkojo atakupa dawa tatizo litaisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom