Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema serikali inataka wananchi wanapofikisha kero zao katika Ofisi za serikali zipatiwe ufumbuzi akisisitiza kuwa itafika hatua watumishi wanaopuza kero za wananchi watafukuzwa kazi wakiunganishwa na wanyanganyi akiwataka maafisa wa serikali kutambua kuwa wapo katika nafasi hizo kwa ajili ya wananchi
Amesema hayo katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa kimataifa Julius Nyerere leo Januari 8, 2026
Amesema hayo katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa kimataifa Julius Nyerere leo Januari 8, 2026